Mkuu inaonekana umekuwa mtu mzima hivi karibuni.Najiuliza hiyo confidence ya kufanya hivyo wametoa wapi na ni akina nani hawa, watanzania hatunaga hizi tabia aisee.
Hayo majitu ni akina nani?
Walimbaka kikatiliDefinitely hizi zinaweza kuwa motivation ya huu uharamia,why mtu arukie mtoto wa mtu na kumuua hivi kikatili?🤔
TZ ni safe sana tu huwezi linganisha na nchi zingine kama USA au South Africa.Tz is not safe now tuwe makini
Sasa kwann mnaua watu na kuteka ?.TZ ni safe sana tu huwezi linganisha na nchi zingine kama USA au South Africa.
Criminals wapo tu na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia kama upo.Sasa kwann mnaua watu na kuteka ?.
Kwa uchunguzi wako uliofanya walitaka nini?Watake pesa tu ndiyo wauwe kwa kuchoma mtu visu na moto licha ya kutumiwa advance!!
Aligombea kwenye kura za maoni alashindwa na Patric Mwalunenge. Lakini huyu Mabula amekuwa anagawa sana hela wakati wa kampeni zote including ile ya 2020.Mwaka wa uchaguzi huu, na baba mtu ni mgombea ubunge.
Kwani haiwezi kuwa viceversa?
Haiwezi ikawa "Sympathy Seeking"?
Ni common sense tu,hapo ni zaidi ya pesa!!Kwa uchunguzi wako uliofanya walitaka nini?
Muda mwingine visasiNi common sense tu,hapo ni zaidi ya pesa!!
Kwanini sasa mkiwa kama jeshi la polisi kwanza hamtoi ripoti ya matukio ya uhalifu wa utekaji haraka na mnaonekana kugua baadhi ya matukio mnafunika kombe mwanaharamu apite?Criminals wapo tu na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia kama upo.
Hata mimi nashawishika zaidi ni hili!Muda mwingine visasi
Husomi taarifa zao kila mara wanatoa? Hata huko kwenye X wanatoa sana tu. Tatizo la Watz wengi wanapenda kusoma taarifa za udaku zaidi.Kwanini sasa mkiwa kama jeshi la polisi kwanza hamtoi ripoti ya matukio ya uhalifu wa utekaji haraka na mnaonekana kugua baadhi ya matukio mnafunika kombe mwanaharamu apite?
Mimi huwa nasoma na nimewafollow kote. Why huwa wanatoa taarifa babaifu na nusu nusu kama sio za kupikwa na kuhokwa?🤔Husomi taarifa zao kila mara wanatoa? Hata huko kwenye X wanatoa sana tu. Tatizo la Watz wengi wanapenda kusoma taarifa za udaku zaidi.
Wewe ndo kama mimi tu, nitatumia resource zangu na zinazonizunguka kuwapata kisha mmoja mmoja namsababishia maumivu makali sanaKama mi ndio Baba wa huyo binti, silisumbui jeshi la polisi. Ni kisasi tu.
Hao inatakiwa wapatikane kwa namna yoyote na wafirwe then mnawachoma moto na wao. Hii dunia haihitaji wema sana kwa hatua tuliyofikia. Sasa ji jino kwa jino.
Taarifa babaifu na nusunusu ndio zikoje mkuu?Mimi huwa nasoma na nimewafollow kote. Why huwa wanatoa taarifa babaifu na nusu nusu kama sio za kupikwa na kuhokwa?🤔
Zemanda jiulize basi naona post yako ya 14 leo una taka kujibu kila mtu humu leoNi ransom sio Ramson.