Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kumbe ana hospitali kabisa. Basi bila shaka pesa ipo.Aligombea kwenye kura za maoni alashindwa na Patric Mwalunenge. Lakini huyu Mabula amekuwa anagawa sana hela wakati wa kampeni zote including ile ya 2020.
Swali langu, je Mabula anapata wapi pesa za kuchezea? Najuwa ana hospitali pale karibu na ukumbi wa Mkapa, lakini hospitali haiwezi kumpa hizo pesa anachezea