Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

Wewe ulikua ujui SAMIA na genge lake la Raia feki wanaishi kwa hofu kuu sana na hayo uliyo fanyiwa ni hofu ya wahuni waliopo serikalini chini ya samia
 
Pole sana mkuu, kiuhalisia kulikuwa hamna sababu yoyote ya kuendelea kukushikilia baada ya kugundua huna viashiria vyovyote vya kutishia hali ya usalama,sema kwa sababu hao jamaa zetu hawanaga busara na ufahamu wa kitu kinachoitwa haki,ndio maana yamekukuta yaliyokukuta.
 
Polisi Wana intelligencia kubwa na Mimi ningekua wewe..

Ningeacha nature nisingetoa pesa na niuone mwisho wangu.

Kwa kuto kujua Kuna msafara..ni kosa la kibinadamu na linasameheka kabisa.

Basi tu ulitishwa Sanaa ukaogopa Mimi nisinge toa pesa kubwa yeyote labda ya kubrashia viatu..

NB.
Kuvamia Kwako msafara kumeleta/kulileta madhara gani...?! Tumezidi kua waoga na wanyonge kupitiliza..pole Sana mkuu.

Mwenyezi Mungu tuepushe na mabalaa na mitihani ya ujana.
 
Kwanza inaonekana ulikua na ndinga la maana sana linaloashiria unaogelea kwenye ukwasi ,wavuta bange wakajua wakikuchekecha hawakosi fungu nene kwako , ungekua na kigari cha kipuuzi ungeishia kutukanwa au kula mambata ,ila kujipachika kwenye katikati ya msafara wa namba moja au wadogo zake wawili apo utachezea hata submachine gun
 
Tumia akili ...tatizo lako ni kushindwa kutumia akili hivyo umeshindwa kuchanganua mchanganuo wa rushwa ...hiyo njiauliyo sema haija wahi kufanya kazi kokote duniani.
 
Pole sana mkuu , na MUNGU akujazie neema upya. Amina.
 
sikia, jitahidi kutembea na pombe kali kwenye gari,,,,ukiona unasimamishwa ubugie yote,then ukisimama jifanye kuongea kilevi ala ukishuka kwenye gari tembea kama unayumba,,,utashitakiwa kwa kosa la kuendesha huku umelewa.....utanishukuru!!
 
Mkuu, unaweza kusema hutatoa rushwa ila kuna mazingira wanakujengea mpaka utaona bora utoe kuliko unachokwenda kupoteza. Huyo jamaa angetia ujuaje huenda angebambikiwa kesi nyingine zaidi na hakuna utakapoenda ukapata haki.
Na muda mwingine hata haki unaipata ushapoteza muda, kazi, mke, heshima n.k.
Unaweza sema watanzania ni waoga ila jiulize ni mara ngapi watanzania huwa tunasimama na mpigania haki?
Kuna wakati polisi wanakufanyia mambo unatamani udeal nao kama yule jamaa aliyewafyatua karibu na ubarozi kwa risasi
 
Walipaswa kutumia ungwana...anyway hatuwezi kulalalia upande mmoja kwani hatuna maelezo ya upande wa pili...pole sana.jaribu kumuona kiongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)kwenye mkoa ulipo kwa kuanzia ngazi ya wilaya....mpe hayo maelezo fata ngazi kwa ngazi mpaka ngazi ya taifa naamini swala lako litapatiwa majibu mazuri bila hata kufika ngazi za juu...nchi ni yetu sote usiumie sana..pole sana mkuu.
 
Kaka, wanakupeleka kituoni wanasema nusura ugonge msafara.
 
Hao matapeli wapo wengi maeneo ya Masaki, Kwa kifupi hapo umeshatapeliwa. Hakuna askari hàpo! Ni MATAPELI
Kumbe Mkuu unawafahamu sana; hebu tupe hints kidogo....Sijui pia kuna Lawyers humu? Watuambie kama kuna kifungu cha sheria chochote kinachokata mtu kuingilia msafara? Na adhabu zake, kama ikitokea mtu amefanya hilo kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…