Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tatizo ametoa rushwa,huoni kua kesi inaweza kumgeukia na yeye pia?Walipaswa kutumia ungwana...anyway hatuwezi kulalalia upande mmoja kwani hatuna maelezo ya upande wa pili...pole sana.jaribu kumuona kiongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)kwenye mkoa ulipo kwa kuanzia ngazi ya wilaya....mpe hayo maelezo fata ngazi kwa ngazi mpaka ngazi ya taifa naamini swala lako litapatiwa majibu mazuri bila hata kufika ngazi za juu...nchi ni yetu sote usiumie sana..pole sana mkuu.
AliuwawaNakumbuka Kuna Askari wa usalqma barabarani alipoteza msafara wa Rais alijiua, sijajua Sheria yake ni Kali kiasi Gani Kwa Kosa kama hilo, ngoja tusubiri wanaojua watatuambia,ila Mimi niliogopa sana yule alivyojiua
Umelazimishwa kutoa sio kwa matakwa yake..Mkuu tatizo ametoa rushwa,huoni kua kesi inaweza kumgeukia na yeye pia?
PolNdugu wanajamvi,
Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye njia moja mara nikaona kwa mbele yangu kuna pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa na askari mwenye uniform pamoja na abiria aliyejitambulisha kuwa ni askari pia lakini hakuwa kwenye uniform.
Baada ya kusimama nikashangaa naulizwa "kwanini tunakusimamisha na hausimami tangu kule nyuma? Huoni wenzio wote wamesimama? Kwanini unakuwa na kiburi? Unataka kutusababishia shida wewe, yani mkubwa yupo maeneo haya na haturuhusu magari kupita ila wewe umepita! Yakaongelewa maneno mengine mengi ya kufanana na hayo. Mimi nikawajibu tu kwa upole kuwa kusema kweli sikuona mtu yeyote akinisimamisha na sikutambua kabisa kuwa magari yanasimama. Na isitoshe ni njia ambayo huwa haina magari mengi hivyo sikuwa na idea kabisa kuwa kuna kuzuiwa magari kupisha uwepo wa huyo mkubwa.
Mara yule askari ambaye alikuwa na nguo za kiraia akapokea simu na kuitikia kwa heshima kuashiria ni mkubwa wake alikuwa anampigia simu. Akaweka loud speaker na kwa masikio yangu alisikika akisema "umempata huyo mtu? mfunge pingu natuma gari lije kumchukua haraka sana. Ataenda kutoa maelezo kituoni" Yani niliishiwa nguvu ghafla na kula nikijaribu kuongea nao walikuwa wakipigiwa simu mara kwa mara na huyo mkubwa wao na kuwaamuru kuwa nipelekwe mahabusu nitafunguliwa kesi ambapo nitalipishwa faini ya shilingi milioni nane, kupekuliwa nyumbani kwangu, kutaifishwa kwa gari langu, na kwenda jela kwa kipindi kisichopungua 06 months.
Naomba tu nifupishe kwa kusema kuna kiasi kikubwa tu cha pesa kilinitoka kunusuru huo msukosuko kwasababu nilijiuliza mambo mengi:-
1. Kitendo cha mimi kuingizwa mahabusu kuna hati hati ya kupoteza ajira.
2. Kutaifishwa kwa gari ambalo ni la kampuni ni swala jingine kabisa.
3. Kupekuliwa nyumba naweza hata kubambukizwa madawa, silaha au nyara nikaishia jela.
4. Watoto wangu wadogo watalelewa na nani?
5. Reputation yangu itaharibika kwasababu nitakuwa na fingerprints interpol.
6. Hata nikienda mahakamani, kushindana na system ni ndoto ya mchana.
So, kutokana na hayo yote ilibidi tu niingie mfukoni na hata kukopa kidogo ili niweze kumalizana na hao watu nje ya sheria. Ni jambo ambalo linaniumiza sana kwasababu si kwa pesa iliyonitoka ila kwa kukiuka maadali yangu binafsi ya kutoa chochote.
Tanzania ni nchi yangu na ninaipenda lakini kwa haya niliyopitia, Mungu ndiye anajua hisia zangu na hii nchi zipoje kwa sasa.
Kama kuna mdau aliwahi kupitia mkasa kama wangu naomba tupeane uzoefu na kama kuna mwenye mchango wowote ningependa tujadiliane.
Asanteni sana.
Poleee saana, hujaelezea kwa kina saana , lakin hapo kuna mazingira aina 2, kwanza Ywezekana kweli ilkuwa msafara , ila misafara mifupi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama n.k.Ndugu wanajamvi,

HAWATOSHEKI NA MISHAHARA YAO HAO MABWANA WAKUBWA.Ndugu wanajamvi,

Angeweza kupambana ila kuna vitu vilikuwa vinamtia wasiwasi kama vile kupoteza ajiraPolisi Wana intelligencia kubwa na Mimi ningekua wewe..
Ningeacha nature nisingetoa pesa na niuone mwisho wangu.
Kwa kuto kujua Kuna msafara..ni kosa la kibinadamu na linasameheka kabisa.
Basi tu ulitishwa Sanaa ukaogopa Mimi nisinge toa pesa kubwa yeyote labda ya kubrashia viatu..
NB.
Kuvamia Kwako msafara kumeleta/kulileta madhara gani...?! Tumezidi kua waoga na wanyonge kupitiliza..pole Sana mkuu.
Mwenyezi Mungu tuepushe na mabalaa na mitihani ya ujana.
Exactly mkuu. Utapoteza vingi sana kwa kupata tone moja la haki katika nchi hii, hasa ukiwa unashindana na system.Mkuu, unaweza kusema hutatoa rushwa ila kuna mazingira wanakujengea mpaka utaona bora utoe kuliko unachokwenda kupoteza. Huyo jamaa angetia ujuaje huenda angebambikiwa kesi nyingine zaidi na hakuna utakapoenda ukapata haki.
Na muda mwingine hata haki unaipata ushapoteza muda, kazi, mke, heshima n.k.
Unaweza sema watanzania ni waoga ila jiulize ni mara ngapi watanzania huwa tunasimama na mpigania haki?
Kuna wakati polisi wanakufanyia mambo unatamani udeal nao kama yule jamaa aliyewafyatua karibu na ubarozi kwa risasi
Aisee pole sana kaka.
Siwapendi polisi yaani nawaona takataka wote.
Kuingilia msafara wa viongozi wa juu ni kuhatarisha usalama wao...ni kama uhaini, maana inawezekana umeingilia kwa kutojua ama unajua...police cha kwanza hawawezi waza hujui....Ndugu wanajamvi,
Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye njia moja mara nikaona kwa mbele yangu kuna pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa na askari mwenye uniform pamoja na abiria aliyejitambulisha kuwa ni askari pia lakini hakuwa kwenye uniform.
Baada ya kusimama nikashangaa naulizwa "kwanini tunakusimamisha na hausimami tangu kule nyuma? Huoni wenzio wote wamesimama? Kwanini unakuwa na kiburi? Unataka kutusababishia shida wewe, yani mkubwa yupo maeneo haya na haturuhusu magari kupita ila wewe umepita! Yakaongelewa maneno mengine mengi ya kufanana na hayo. Mimi nikawajibu tu kwa upole kuwa kusema kweli sikuona mtu yeyote akinisimamisha na sikutambua kabisa kuwa magari yanasimama. Na isitoshe ni njia ambayo huwa haina magari mengi hivyo sikuwa na idea kabisa kuwa kuna kuzuiwa magari kupisha uwepo wa huyo mkubwa.
Mara yule askari ambaye alikuwa na nguo za kiraia akapokea simu na kuitikia kwa heshima kuashiria ni mkubwa wake alikuwa anampigia simu. Akaweka loud speaker na kwa masikio yangu alisikika akisema "umempata huyo mtu? mfunge pingu natuma gari lije kumchukua haraka sana. Ataenda kutoa maelezo kituoni" Yani niliishiwa nguvu ghafla na kula nikijaribu kuongea nao walikuwa wakipigiwa simu mara kwa mara na huyo mkubwa wao na kuwaamuru kuwa nipelekwe mahabusu nitafunguliwa kesi ambapo nitalipishwa faini ya shilingi milioni nane, kupekuliwa nyumbani kwangu, kutaifishwa kwa gari langu, na kwenda jela kwa kipindi kisichopungua 06 months.
Naomba tu nifupishe kwa kusema kuna kiasi kikubwa tu cha pesa kilinitoka kunusuru huo msukosuko kwasababu nilijiuliza mambo mengi:-
1. Kitendo cha mimi kuingizwa mahabusu kuna hati hati ya kupoteza ajira.
2. Kutaifishwa kwa gari ambalo ni la kampuni ni swala jingine kabisa.
3. Kupekuliwa nyumba naweza hata kubambukizwa madawa, silaha au nyara nikaishia jela.
4. Watoto wangu wadogo watalelewa na nani?
5. Reputation yangu itaharibika kwasababu nitakuwa na fingerprints interpol.
6. Hata nikienda mahakamani, kushindana na system ni ndoto ya mchana.
So, kutokana na hayo yote ilibidi tu niingie mfukoni na hata kukopa kidogo ili niweze kumalizana na hao watu nje ya sheria. Ni jambo ambalo linaniumiza sana kwasababu si kwa pesa iliyonitoka ila kwa kukiuka maadali yangu binafsi ya kutoa chochote.
Tanzania ni nchi yangu na ninaipenda lakini kwa haya niliyopitia, Mungu ndiye anajua hisia zangu na hii nchi zipoje kwa sasa.
Kama kuna mdau aliwahi kupitia mkasa kama wangu naomba tupeane uzoefu na kama kuna mwenye mchango wowote ningependa tujadiliane.
Asanteni sana.
Kuna mtu aliwahi nambia hili, iko pia Mikocheni.Hao matapeli wapo wengi maeneo ya Masaki, Kwa kifupi hapo umeshatapeliwa. Hakuna askari hàpo! Ni MATAPELI
[emoji346] piaKwanza inaonekana ulikua na ndinga la maana sana linaloashiria unaogelea kwenye ukwasi ,wavuta bange wakajua wakikuchekecha hawakosi fungu nene kwako , ungekua na kigari cha kipuuzi ungeishia kutukanwa au kula mambata ,ila kujipachika kwenye katikati ya msafara wa namba moja au wadogo zake wawili apo utachezea hata submachine gun
Ok. Pole sana. Uliibiwa. Barabara ikifungwa kwa ajili ya kiongozi askari husimama barabarani kabisa, ungeomuona. Hakukuwa na msafara wowote. Ile maaskri kuongea nawe mda mrefu kisha kupigiwa simu na eti mkubwa wao nao wakaweka laudi spika kisha mkubwa atoa vitisho kwa namna ile, walijuwa utapoteza netweki na uchomoe hela.Ndugu wanajamvi,