Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

Mkuu tatizo ametoa rushwa,huoni kua kesi inaweza kumgeukia na yeye pia?
 
Nakumbuka Kuna Askari wa usalqma barabarani alipoteza msafara wa Rais alijiua, sijajua Sheria yake ni Kali kiasi Gani Kwa Kosa kama hilo, ngoja tusubiri wanaojua watatuambia,ila Mimi niliogopa sana yule alivyojiua
Aliuwawa
Hopefully maana alipotezaga msafara wa kikwete huko mkoa wa Mara

Acha TU ndani ya DAKIKA sufuri unageuka mtuhumiwa na hakuna wa kukuonea huruma...HAKUNA WA KUKUANGALIA KWA JICHO LA BABA NA MTOTO....JICHO LA MAMA NA MWANAE.
 
Pol
Poleee saana, hujaelezea kwa kina saana , lakin hapo kuna mazingira aina 2, kwanza Ywezekana kweli ilkuwa msafara , ila misafara mifupi ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama n.k.
Pili, yawezekana watoto wa mjni walikusomea mnara. Lakin pia kuna issue ya rushwa hapo hyo haina cha mkuu wa nan hilo ni kosa mmetenda woote,
Ili usaidike kwa haraka, ulitakiwa uwe na vtu vifuatavyo pt no: ya hiyo pikpk, force namba ya hyo askar mwngne aliekuwa f/b. Au proper. Na mawasliano ya mmoja wapo.
Hitimisho ; hakuna fine ya mamilion kwa kosa la kuingilia msafara bali kuna kifungo na chenyew ni nadra saana, coz kosa hlo huwa liko investigated na intelligence troops . madhara mengne ni kifo cHa papo hapo.
 
HAWATOSHEKI NA MISHAHARA YAO HAO MABWANA WAKUBWA.
 
Angeweza kupambana ila kuna vitu vilikuwa vinamtia wasiwasi kama vile kupoteza ajira
 
Exactly mkuu. Utapoteza vingi sana kwa kupata tone moja la haki katika nchi hii, hasa ukiwa unashindana na system.
 
Upo kama mimi jamaa siwapendi kutoka kwenye moyo wangu kabisa,
Nature ya kazi zangu ni barabarani, kwa hiyo huwa nakutana nao sana kwenye mishe zangu, kuna wakati inabidi hadi niishi nao kinafiki maana kuna baadhi yao huwa wanajifanya humble kwangu.
Aisee pole sana kaka.

Siwapendi polisi yaani nawaona takataka wote.
 
Kuingilia msafara wa viongozi wa juu ni kuhatarisha usalama wao...ni kama uhaini, maana inawezekana umeingilia kwa kutojua ama unajua...police cha kwanza hawawezi waza hujui....
 
[emoji346] pia
 
Niliwahi kupatwa na kadhia hiyo ya kuingilia msafara, tena bora wewe mimi nilikatiza kabisa wakati msafara unakuja, sikunyanyaswa kiasi hicho ila nilienda mahakamani nikalipa faini ya makosa ya barabarani.
Kiuhalisia hilo ni kosa kubwa na ukweli wanaweza kuhisi ulikuwa unahatarisha usalama wa huyo mkubwa.
Mimi nilifikishwa kituoni kabisa na nilikuwa na ujasiri wa kujibu kwa utulivu mkubwa na baadae siku hiyo hiyo nilitoka na gari yangu nilipewa nikafunguliwa traffic case tu na nikaenda mahakamani nikakubali kosa nikapigwa faini ya 150k nafikir nilisomewa makosa 3.
Ukiniuliza sijui hata nilitumia nguvu gani kuwafanya wawe wapole wenyewe japo nilipokamatwa ilikuwa hatar ila nilitulia bila kujibishana nao zaid ya kukubali lile ni kosa.
 
Ok. Pole sana. Uliibiwa. Barabara ikifungwa kwa ajili ya kiongozi askari husimama barabarani kabisa, ungeomuona. Hakukuwa na msafara wowote. Ile maaskri kuongea nawe mda mrefu kisha kupigiwa simu na eti mkubwa wao nao wakaweka laudi spika kisha mkubwa atoa vitisho kwa namna ile, walijuwa utapoteza netweki na uchomoe hela.
 
WEWE NI UMEVUKA LEVEL YA UJINGA... Samahan nikikuita Mpuuzi ktk hili... Hivi nyie WaTz mkoje? Mbona akili hamzitumii hata kidogo? Yaani unatapeliwa kipumbavu kiasi hiko kisa mtu kavaa kipolisi 💩💩
Usinichoshe kuandika, itoshe kusema WaTz ni wajinga kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…