Pole ila ulichofanya ni sahihi kabisa, ungepata tabu tu. Maana bwana mkubwa kwenye simu angewa komalia hao wa chini.
Mimi nishapata mkasa Mdogo wakuta kuingia msafara bila kujua, Askali alitoka onyo Kali tu. Na mara nyingi atakwambia hivyo unataka kututia matatani.
Wakati Lowasa Waziri Mkuu, nilikuwa na Honda Baja XRL 250. Mhe. Baada tu ya kupita pale mbuyuni kama sekunde 40, askali akalegeza mkono nikachomoka mwendo mdundo muffler la exhaust inamwa mwimbo, Hamad! Nashtuka nimewavuta kama mita 30, ghafra naona mlango wa nyuma wa Mercedes Benz unafunguliwa mtu ananinyooshea miguu wa kukuu Kwa kunipa onyo, bomba la silencer likinesa juu chini juu chini. Nikafinya break quaaaaah kiroho juu.
Toka Siku hiyo nimekuwa na adabu, zaidi ya kufata Ambulance tu.