Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

Money buys power

Weka hilo akilini

Huwezi elewa maana ya Power ndio maana unaifananisha na vitu vya kijinga.
Mamlaka ni zaidi ya Pesa Kwa mbali Mno.

Kila siku mnasema hapa kuwa Watu wakiingia kwenye power waliingia wakiwa Maskini lakini Baada ya Kupata Mamlaka wanakuwa matajiri wa kutupa alafu wewe hujui hata unachokizungumzia.

Power ndio inazalisha Pesa. Bila power Pesa haina nguvu yoyote.

Kwa kukuongezea tuu kidogo.
Power ndio iliyotengeneza Pesa.

Hizo Pesa zako watawala wanaweza wakakufanya chochote na usiwe na chakufanya.
 
Power ndio inazalisha Pesa. Bila power Pesa haina nguvu yoyote.

Kwa kukuongezea tuu kidogo.
Power ndio iliyotengeneza Pesa.
Pesa ndiyo inaendesha serikali.

Ndio maana wanasiasa wanawatoza kodi wenye pesa (wafanyabiashara) ili wajilipe na wapate za kuiba watunishe matumbo yao, na wawalipe watumishi bila hivyo taifa likishindwa litakuwa ni "a failed state"

Jiulize kwa nini serikali zote duniani zinalilia kuwa na wawekezaji au zinaweka mazingira mazuri ili kuwavutia wenye pesa iwe ni wawekezaji wakubwa, wa kati au wadogo

Ili wapate kibunda cha kuendesha serikali na za miradi ya maendeleo kama miundombinu n.k
 
Hizo Pesa zako watawala wanaweza wakakufanya chochote na usiwe na cha kufanya
Utawala ukizingua wawekezaji wanaweza kuamua kuhamisha biashara zao

Ukiwabana zaidi biashara watafunga na wewe mwenye power ndio anguko lako linapokuja

Mzee Gulam Dewji aliiambia serikali watafunga viwanda vyote vya MeTL mwanae Mohammed Dewji asipoonekana baada ya siku 2 Jiwe akamweka huru Mo akapatikana kunako viunga vya viwanja vya Gymkhana
 
Back
Top Bottom