Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

Habari Wakuu!

Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.

Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.

Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.

Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.

Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.

Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.

Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.

Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.

Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.

Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.

Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.

Eeeh! Acha nipumzike tuu.

Ijumaa Kareem
Acha uongo kumjustify samia. Watanzania sivyo ulivyowaeleza eti mtoa jasho na mvivu wote wale. Watanzania wanapenda usawa kwa maana hawataki dhuluma. Kwa mfano hawapendi unyonyaji yaani wachache ndio wana fursa kumiliki mali wengine wawe wamejaliwa kutumikishwa tu. Hawapendi rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Hawakubali mali ya umma au fedha ya umma kutumika kwa maslahi ya mtu binafsi. Sasa hapo ndio mtu kama wewe utasema mengine. Uyo samia wako bila shaka anaamini kama wewe. Mtasema watanzania wana wivu mtu akiwa tajiri au amejaliwa na mungu wakati ni dhuluma tu kwa wengine.
 
Hata swali la kijinga pia linamajibu.
Unaweza kujibu au kuacha tuu Mkuu.

Nilikuuliza, hivi siku ukigundua kuwa Mungu ndiye huyohuyo shetani utafanya nini? Haujanijibu
A stupid comment again.Yaani aisee huna maarifa kabisa.Proof that God is there is all around you.
 
Habari Wakuu!

Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.

Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.

Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.

Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.

Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.

Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.

Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.

Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.

Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.

Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.

Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.

Eeeh! Acha nipumzike tuu.

Ijumaa Kareem
Ukweli mtupu!
 
Mpigie Yesu Makofi

Sema Ayayayaaaa!
 
Mitanzania Mingi ni mijinga sana na iliharibiwa akili na Babu Yao wa Taifa chini ya ujamaa mbuzi.

Ndio maana utasikia fisadi sijui analamba asali ila hayana hata ushahidi Bali uropokaji tuu.

Akitokea Kiongozi wa ambae ana muelekeo wa kukandamiza wengi Kwa sababu za wivu na chuki basi maskini hao hufurahi sana.

Mwisho tabia ya ujamaa ni kulisha Imani ambazo hazipo yaani kama dini wanapigiwa propaganda harafu Kwa kuwa ni majinga yanaamini na hii ndio sababu utasikia Bora Magufuli lakini Uliza sasa wewe Kwa Mwendazake maisha Yako yalifanikiwaje hakuna kitu ila ataanza kutaja mifano ya wafanyabiashara walioporwa pesa basi hapo yalivyo makolo yanafurahii..

Samia kaza hivyo hivyo na Huwa napenda sana nikiona unawajazia hakuna kulemba Kila mtu afanye kazi ale jasho lake hakuna Cha Bure.

Yamekaa huko Mjini yanategemea mkulima ahenyeke harafu Rais aje aseme hakuna kuuza mazao Nje Ili yenyewe yanumue bei chee Kwa jasho la wasio na sauti,Samia amekataa huu upuuzi.View attachment 2758360
Ukweli mtupu!
 
Kuna nyakati fulani huko nyuma nilianza kuvutiwa na hoja zako ila kadri siku zikipita naanza kuyaona mapengo mengi kwenye maandiko yako. Maana ya kula kwa urefu wa kamba hasa ndo yenyewe inayosimama na utu ama ukienda uite "ujamaa", na si kwa namna unavyojaribu kuipotosha maana hii.

Maana ya ujamaa harisi ni kwamba watu wote wafanye kazi ama washiriki kazi za uzalishaji. Mfano wa hili ni ile ikiitwa age set system, watu wote ukiachia watoto na wazee walitakiwa kuelekea kazini kuzalisha. Na hata katika maandishi fulani ya Baba wa Taifa aliwahi kuandika juu ya uhuru na kazi(freedom&work). Hii ni dhana ya kijamaa maana yake asiwepo wa kukaa akalala alafu akadai kula huyo ataitwa mnyonyaji a.ka. bourgeoisie.

Kwahiyo ukimsema mama kwa hilo basi tutasema mama ni "mjamaa" ijapo kwa mienendo yake huko wala hayuko. Katika serikali yake kaunda mfumo wa inequality, wengi wanaumia kwa ajiri ya wachache.

Majority wa nchi hii wanapambana sana lakini mfumo wa utawala ni exploitative mno, kila mahala sasa hivi ni rushwa na nepotism. Huruma za jamii zinapatikana kwa misingi ya kibaguzi, unyanyasaji na upendeleo.

Wafia nchi wanasota huku utajiri wao unagawiwa kama peremende ..where is justice, where is social justice?

Niishie hapo yasije kunikuta maana sahivi hatuna hata uhakika wa maisha yetu huku uraiani, watu wanachukuliwa na kunyakuliwa kama vifaranga kwa mwewe. Wewe pengine unayo haki ya kutamba hivyo kulingana na tawi gani umelikalia na ni tawi gani limeelekezewa upanga ila punguza utoto
Ndugu ukivua miwani ya ujamaa hutaona mapengo kwenye andiko lake. Kasema vizuri kuhusu tabia yetu.
 
Habari Wakuu!

Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.

Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.

Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.

Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.

Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.

Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.

Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.

Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.

Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.

Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.

Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.

Eeeh! Acha nipumzike tuu.

Ijumaa Kareem
Ni kama unaona ni sawa wanao iba fedha za umma kuendelea kuiba kisa tu duniani hakuna usawa!

Pamoja na andiko lako bora lakini ukweli ni kuwa asilimia zaidi ya 85 ya tunao ona ni matajiri au wanafedha hasa watumishi wa umma huku mtaani dili zao sio halali.

Tunaishi nao mtaana, tunajua kazi wanazo fanya, na tunajua biashara walizo nazo.

Ukitaka kuamini hili, fuatilia Viapo vya Maadili kwa watumishi wa umma, na hasa vipengele vya umiliki wa mali, ni aibu tupu!

Watu wanandika wana nyumba mbili na gari 2! but reality nyumba 67 Magari 20.

Mimi nilidhani maana ya mama ilikuwa kama unastahili kupata posho ya Laki 4 upate, kama mshahara wako ni milioni 6 ulipwe. (Period)
 
Habari Wakuu!

Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.

Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.

Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.

Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.

Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.

Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.

Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.

Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.

Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.

Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.

Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.

Eeeh! Acha nipumzike tuu.

Ijumaa Kareem
Duhuuuu kumbe ukivimbiwa unakuwa hivi
 
Dogo mpaka siku utakapoacha nadharia ndio utanielewa kua kwanza

Na huwezi nielewa.
Wenzako wanatafuta power ili wapate Pesa.
Wewe unajidanganya utafute Pesa.

Hata Mungu uliyemnukuu alimwambia adamu aende akatawale. Ukitawala(ukiwa na power) unakila Kitu ikiwemo hizo Pesa
 
Back
Top Bottom