KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 928
- 1,478
- Thread starter
- #21
Hii nilishaiandikaga kitambo nahakiki tu uandishi kupangilia na kuleta haitachelewa sana kuisha inasehemu hazizidi 15 .Una copy wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nilishaiandikaga kitambo nahakiki tu uandishi kupangilia na kuleta haitachelewa sana kuisha inasehemu hazizidi 15 .Una copy wapi?
Nyie na mapenzi where and whereeee mangiMapenzi ni kitu kingine ukimpata anayejua kucheza na mapenzi kama Vannesa unaweza kuwa chizi
Mkuu hujapatwa wewe . Hujawahi kupendwa alafu kibaya na wewe upende na mwanamke asiye na shida ya hela hanuni ovyo . Mchangamfu , mjanja na mwenye madoido . Utakufa mkuu ukiachwa . Inauma mnoMwisho kupenda kwa dhati miaka 21, Inachukua miez 15 tu au pungufu kumsahau mtu uliempenda.
Wewe siku zinasonga, Wiki na Miaka inaenda bado unamkumbuka tu Vanessa, Nathibisha una Ugonjwa wa Akili
by Dr. WeedLiquorz .
Hata uwe mangi ulikulia moshi mpaka unafika miaka 40 ukikutana na mrembo mwenye makeke kama Vannesa akakupenda na akajiachia kwako kwa muda wa miezi sita tu lazima utepete . Nibalaa . Ngoja uone mbele ya safari ....Nyie na mapenzi where and whereeee mangi
Soon sehemu ya tatu nailetaShusha episode mkuu[emoji1732]
Labda sio mimi.Mkuu hujapatwa wewe . Hujawahi kupendwa alafu kibaya na wewe upende na mwanamke asiye na shida ya hela hanuni ovyo . Mchangamfu , mjanja na mwenye madoido . Utakufa mkuu ukiachwa . Inauma mno
Toka nizaliwe mpaka chuo ndio nilikuja kumgonga Vannesa kabla ya hapo hata mazoea kuwa sina na mtoto wa kike . Hata stori za mapenzi na vijana wenzangu kuwa hamna nilikuwa serious sanaKwaiyo wewe Toka uzaliwe umegonga demu mmoja tu. Pole
Sio ya kutunga mkuu . Niliwahi kuiandika Twitter wakati flani japokuwa kwa ufupi na leo narudia tena . Ni chotara flani mswahili hata lafudhi ya kihindi hana mama yake ni mswahilialipoanza kusema tu “vannesa alikua na asili ya kihindi” basi nikajua tu hii ni story ya kutunga
Mimi sio mwandishi ila najitahidi tu kuleta yaliyonisibu . Uandishi naona unauweza [emoji23]Yaani katika kusomaga kwangu visa vingi, lazima msichana awe mrembo katika masimulizi.
Utasikia eeh Vanessa wewe
Macho yako yamejaa mng'ao wa ajabu, yakitafakari uzuri wa ulimwengu, yakinivuta ndani ya ulimwengu wako wa siri na ndoto za kutamanika.
Ngozi yako nyororo inaleta hisia za utamu, kama upepo laini wa majira ya joto ukipapasa ngozi yangu.
Sauti yako ni kama muziki wa asili, tamu na unapenya moyo wangu, ikiniacha nikitamani kusikia zaidi.
Shingo yako yenye pingili tamu ni kama shingo ya swala, ikitoa mvuto wa kipekee. Umbo lako linalingana kama sanamu iliyoundwa kwa ustadi na maridadi, ikisanifiwa na mafundi wa mafundi, eeh Molà jalia.
Tabia na utu wa kipekee na upendo wa kweli. Haiba yako ya kike na tabia yako ya kupendeza hutawanya furaha na amani kila mahali unapopita, kama maua yaliyotawanyika katika upeo wa macho ya wengi.
Yaani unamuimagine mwanamke huyu mpaka malaika anakutokea mbeleni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Aya, leta vitu ewe mwathiriwa wa Vanessa.
NdioMadam Ngowi tena!?
One day utakupatwa tuLabda sio mimi.
Wimbo wa nani nikausikilize unifariji[emoji444][emoji441][emoji344] uliniacha na mtoto wangu mdogo vannesa.
siku zinapita miaka, inakwenda mimi na vannessa.
wewe utakuja nikumbuka aah
wewe utakuja niulizaa aah
umenikumbusha huu wimbo mkuu
Ooh basi unaungana na mkuu sana Tembosa[emoji23][emoji23]Vannesa wengi ni wazuri kinoma hivyo wanatuacha wengi tuliowapenda na maumivu yasiyo na mfano
wimbo wa twanga pepeta....unaitwa mtu pesaWimbo wa nani nikausikilize unifariji