Kova ndiyo kachoka namna hii?

Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.

Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
 
huyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosi

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
kwani yeye alipokuwa madarakani akipigiwa simu alikuwa anapokea? kwanza simu za nini?ukishaondoka ndio kwa heri aende tu kwao Kondoa akalime mbaazi, kila kitabu na zama zake,huu ni usumbufu wenzake wako kazini yeye anapiga simu za porojo akiwa sebuleni kwake kapumzika ilihali wenzake wapo kazini.
 
huyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosi

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Yeye ndo alizindua ile frame ya lampard electronic japo sina hakika kam niyake ...eb wajuzi tujuzane maana inasemekna yeye pale nikama mlezi wa wale vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…