Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosiKova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.
Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
kwani yeye alipokuwa madarakani akipigiwa simu alikuwa anapokea? kwanza simu za nini?ukishaondoka ndio kwa heri aende tu kwao Kondoa akalime mbaazi, kila kitabu na zama zake,huu ni usumbufu wenzake wako kazini yeye anapiga simu za porojo akiwa sebuleni kwake kapumzika ilihali wenzake wapo kazini.Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.
Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
Umri baba... hata wewe kuna wakati utafika unakula tu kwa macho!Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Kova hawezi kuwa Na 70huyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosi
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
TrueSasa mbona yuko kawaida tu! Mtu amestaafu tayari, hivyo ni kawaida kuwa na mwili wa aina hiyo.
Yeye ndo alizindua ile frame ya lampard electronic japo sina hakika kam niyake ...eb wajuzi tujuzane maana inasemekna yeye pale nikama mlezi wa wale vijanahuyo mzee naskia ana duka la lampard electronics pale tena kubwa sana kariakoo hana njaa huyo na uzee ni lazima huyo 70 kuendelea haikosi
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app