Kova ndiyo kachoka namna hii?

Mzee wa Intelegensia aliye chukua kijiti toka kwa polisi nambari moja Tanzania mh. Tibaigana.
Huyu wa Sasa mhh utadhani Rama K
 
Hahaha alianzisha ka NGO flani ka kutoa elimu khs mambo ya kupambana Na majanga(elimu khs Moto,uogeleaji) etc. Lkn sijui kalifia wapi hako ka NGO.
 
Aiseeee !!!
 
Hawana ujanja wa kuishi nje ya ofisi,vingi bure.
 
Wewe ni mmoja wa askari asiyepokea simu inayopigwa na askari mwenzenu mstaafu bwan Kova?
 
Mmh yuko vizuri huyu frm kamanda

Niamini nachokwambia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…