kizazi cha Affidavit
Sirro sijui anastaafu lini? Maana naona kama ni rika moja na mzee kova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sirro sijui anastaafu lini? Maana naona kama ni rika moja na mzee kova
kwani enzi zile akiwa rpc dar alikuwa kijana?Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Don't judge the book by it's cover...Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Hahaha alianzisha ka NGO flani ka kutoa elimu khs mambo ya kupambana Na majanga(elimu khs Moto,uogeleaji) etc. Lkn sijui kalifia wapi hako ka NGO.Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.
Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
Nimemchoka sana.Sirro sijui anastaafu lini? Maana naona kama ni rika moja na mzee kova
[emoji38][emoji38][emoji38]Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Aiseeee !!!Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.
Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
Baba yakeAnafanana na Sheta
Hawana ujanja wa kuishi nje ya ofisi,vingi bure.Kova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.
Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.
Wewe ni mmoja wa askari asiyepokea simu inayopigwa na askari mwenzenu mstaafu bwan Kova?kwani yeye alipokuwa madarakani akipigiwa simu alikuwa anapokea? kwanza simu za nini?ukishaondoka ndio kwa heri aende tu kwao Kondoa akalime mbaazi, kila kitabu na zama zake,huu ni usumbufu wenzake wako kazini yeye anapiga simu za porojo akiwa sebuleni kwake kapumzika ilihali wenzake wapo kazini.
Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Exactly.Anafanana na Sheta
umri haurudi nyumaKweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Mmh yuko vizuri huyu frm kamandaKova akihojiwa na clouds FM mwishoni mwaka jana anadai akiwapigia simu wenzake aliwaacha central na wizara ya mambo ya ndani hawapokei simu yake nakubaki kushangaa.
Ila si alikuwaga na kampuni yake ya ulinzi? Kama hakutumia fursa ya kupiga imekula kwake.