Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmriKweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Mbona haujamalizia (ni)...🤣🤣Anafanana na Sheta
Hahahaa Baba kailaAnafanana na Sheta
Yupo na kiwanda chake cha kutengeneza chakula njia ya banana kwa wakurya kule.Alishahama gongo la mboto?
Anafanana na Sheta
Shetta baba yake anaishi Ukonga, Mombasa.Inabidi niongee na shetta atuambie kama mzee kova siyo dingi yake ......
Baada ya kustaafu ulitegemea Kova awe kijana zsidi?Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122
Watu wengine wandhani kuwa na kitambi na mashavu yaliyovimba ndiyo afya bora.Mbona Mzee yuko safi tu!
Acha hizo, ukishakuwa mtu mzima lazima mwili usinyae ila Afande Kova yuko poa wala hajachoka kama unavyodai!
He is above 60. Sio ajabu sana kwa muonekano huo tena yuko vizuri sana tafuta mzee mwenye 63 ulinganishe ndio utajua.Kweli bongo ukistaafu unachoka aisee,ndiyo maana kuna watu wanajipunguzia umri ili wasistaafu mapema.
View attachment 2210122