Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Mkuu nina shida na bomu nakupataje?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha
Mmoja wapo ni huyo aliyekuuliza swali,akutafute muyapange
 
hata kama ni atomic engineering ww umejuaje kama mpo wawili ina maana unajuana na wasomi wote wa Tanzania tangu mwaka 1940?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishamaliza chuo unajisajili na Board ya wahandisi (ERB) wanaweka kumbukumbu zao kwamba Tanzania tuna ma engineer wangapi na wa level gani inafahamika.
 
Atakuwa alikuwa anatembea na fundi huyo ndipo alipojifunzia asitudanganye alijifunza mwenyewe something fishy 😏
 
BsC. In Cyber security, its marketable ila kwa bongo haipo labda nchi jirani (Kenya)


Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ulimwengu wa Cyber Security bado hatujafika boss ndio kwanza tunajikongoja maswala ya data protection,computer frauds,spams,cyber crimes,cyber attack ndio tumeanza kuyatungia sheria miaka ya hivi karibuni baada ya mheshimiwa rais kuuona umuhimu wake ,ndio maana bado serikali inasisitiza kusajili kwa Alama za vidole,wakati nchi nyngn utaratibu huo ulishazoeleka.

Ukisoma hiyo kozi kwa level ya degree utakuwa wa kwanza au was pili wengi wanafanya mastering ,nenda kasome TCRA watakuita wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…