Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Sawa mkuu, yote uliyo yaandika ni sawa kabisa.
Hapa mimi swali langu ni... unapo sema mshahara mkubwa na mnono, hapo unamaanisha ni pesa ngapi ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa sana mkuu, nilipoandika yale nilikuwa na maana moja tu kuwa hawajui wanachokisema juu ya mshahara mnono ni upi? na hawajui vingi vya hao wanaojilishanganisha nao
 
Usirogwe kwenda kozi za bachelor of science sijui in Biology,Chemistry nk utajuta labda uwe na connection kazi hizi hazieleweki hakuna kazi za jumla ni kugumia gumia tu ukikutana nazo haziko direct kama kazi zingine
Chemistry nafuu ajira zipo wale TFDA wanatoa ajira nyingi kila mwaka na viwanda vingi vinatafuta watu wa Chemistry, vile vile mtu wa chemistry anaweza omba nafasi za Lab.
 
Wewe experience yako hujaweka,tuwekee pls

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa si kitu kabisa, sasa we sikia awamu hii ni ya Viwanda halafu uende ukasome Industrial Engineering uone yatakayokukuta.
Baadae inakuja kuwa ya Kilimo kwanza hiyo ya awamu ya sita.
 
Kuna nchi niliishi hapa Africa nikakuta wana mtaara unaotoa "Bachelor of Science in Witchcraft "yaani mambo ya uganga na uchawi na ukienda hospital zao kuna hicho kitengo kama ugonjwa umeshindkana hospital kuna wodi ya waliorogwa .

Ushawai kuwaza kitu kama hicho kipo duniani??
Serikali ingebidi iongeze huu mtaara kama vp wafute baadhi ya kozi waongeze hii itakuwa na soko sana mtu anaweza hata kujiajiri kirahisi.
 
Tuheshimiane mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tell me more about hizo kozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadae inakuja kuwa ya Kilimo kwanza hiyo ya awamu ya sita.
Tunakimbizwa spidi kubwa sana, maana tunatoka kwenye kilimo hatujakaa vizuri, mara gesi na mafuta, hatujakaa vizuri viwanda, sijui next itakuwa ni nini ?
 
Tell me more about hizo kozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishasoma kozi yoyote ya Environmental ..
Ili watu wakuogope inabdi usome short kozi kama NOSCH hii kozi inatolewa na serikali kila mwaka kupitia OSHA kupata ratiba nenda kwny website zao ,ukimaliza hiyo soma IOSH Managing Safely hii ni Online kozi unalipa kama 400,000/=
Ukimaliza soma NEBOSH (igc) international General Certificate
hii nayo ni online kozi .Hapo unakuwa umetimia sasa hakuna wa kukunyima kazi.

Hata kama hauna Degree hizo short kozi unaweza ukasoma ,hiyo NEBOSH (igc) ukiwa na cheti chake mwenye degree akukamati maana hiyo ni kozi ya kimataifa,kama mpenda sifa kasome na SAMTRAC inatolewa South Africa na NOSA hizo zote ni kozi zinazotambulika kimataifa .Kitaifa ni NOSCH .
 
na mm wa tatu[emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…