Tetesi: KQ yaongeza Hasara mara mbili hadi Ksh 7.5b kutoka billioni 4 mwaka janaπŸ˜†πŸ˜†

I dont want to realise anything, i just wanted the figures.

Well; just read the most recent CAG report then. Unlike you; I don't need to be told by anybody that today is Tuesday.
 
KQ changed their year end from March to December in 2018...... That’s why they are comparing 7 months in 2017 and full year 2018.
 
Doesn't any parent company count out the financial performance of its subsidiaries in its FY results ?
The problem is that people don’t read...The financials include. KQ company, Jambojet, Achl, KAHL and Presicion Air as an associate.
 
Sielewi; kutoka below 1B hadi almost 8B ni tatizo?
Mmepata tourist wangap wa kuleta receipts za 8B in one year..hyo 8B ni contribution ya tourism kwenye Gdp ya kenya ..inatokana na combination ya vitu mbali mbali..2.5B ya Tz ni receipts peke yake ..sijaweka contribution ya Gdp..sasa una compare kivip maandazi na mawe
 
We matak.. kweli, hii habari imeandikwa na watanzania?
Do you know what happens when liabilities exceeds its assets?
 
ATCL haijapata faida.
 
ATCL iko na viwango vidogo vya kila kitu! Fuel cost, salaries, maintenance cost...etc. ATCL is comparable to fly540, jambojet or African Express not KQ !!!! Unataka Ku compare ndovu na panya ....
Miaka 50 munamiliki ndege 3 tu kqπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
But 2018 imeenda juu loss kuliko 2017πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sijui inapungua vp???
 
But cha ajabu kq inamiliki ndege 3 tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Muko kwenye service miaka 50 lakini munamiliki ndege 3
 
Hahahahaha, hivi hili karatasi linajua zaidi kuliko wabunge wenu mnaowalipa 49% ya revenue yenu?
So unajiribu kusema yule mbunge wenyu alisema ati ndege zenyu hazina habiria alikuwa correct?
 
Hahahahaha, hivi hili karatasi linajua zaidi kuliko wabunge wenu mnaowalipa 49% ya revenue yenu?
Wabunge waliulizia in ndege ngapi zinamilikiwa na KQ na wengine wakaguess ati 3. So tell me, tangu hiyo repoti itoke, ni mbunge gani ameipinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…