Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.