chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Nyingine mnazichota mnaenda kuficha uingereza.kenya bhn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa siuhamie kenya kinachokiweka tz nini?Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
Hapo imeleta ukweli gani kama siyo uchochezi K wewe?Huwa hampendi kuambiwa ukweli nyie Malazy.
Kweli hatuwezi kushindana na nyie kwenye index za njaa, rushwa, insecurity, substandards, unplanned settlements, ethnicity, data cooking etc the list is endless.
Hapa hatuzungumzii Gdp tunazungumzia ukusanyaji wa kodi ya serikali.Mimi ningekuelewa kama ukubwa wa gdp yenu ungeenda sambamba na kutokomeza matatizo yenu ya msingi kama baa la njaa.
WFP yasema watu Milioni 2.4 kukabiliwa na baa la njaa nchini Kenya
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, linasema watu Milioni 2.4 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa nchini Kenya kufikia mwezi Novemba. Tahadhari hii imetolewa wakati huu maeneo ya Kaskazini na Mashariki mwa nchi hiyo yakiendelea kukabiliwa na ukame. WFP...www.jamiiforums.com
Hapa hatuzungumzii Gdp tunazungumzia ukusanyaji wa kodi ya serikali.
Umesoma hiyo taarifa ya njaa vizuri ama you are reading your skewed thoughts into it kama kawaida yenu,. yaani mnatamani serikali ishindwe kushugulikia hii natural disaster, of which ni kama tu mafuriko, mnataka sana watu wafe njaa Kenya lakini mnapata tabu, halitatokea ng'o! 😂 😂 😂 😂 ,.,Mimi ningekuelewa kama ukubwa wa gdp yenu ungeenda sambamba na kutokomeza matatizo yenu ya msingi kama baa la njaa.
WFP yasema watu Milioni 2.4 kukabiliwa na baa la njaa nchini Kenya
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, linasema watu Milioni 2.4 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa nchini Kenya kufikia mwezi Novemba. Tahadhari hii imetolewa wakati huu maeneo ya Kaskazini na Mashariki mwa nchi hiyo yakiendelea kukabiliwa na ukame. WFP...www.jamiiforums.com
Tuonyeshe wangapi wamekufa kwa njaa wewe fukara?.., unatamani sana., mko chini yetu licha ya our challenges.., mko hovyo!Sawa, sasa kama una makusanyo makubwa lkn watu wanakufa na njaa, ina faida gani??
Umeona sehemu Kenya imeshindwa kulipa madeni kama Tanzania? ama kusamehewa kama Tanzania? ama kuna sehemu ndege ya Kenya imeshikwa na mkulima kisa madeni kama ya air Tanzania? mko hovyo., jiangalie kaka..,Kenya imekumbwa na njaa miaka na miaka bila utatuzi.
China wanataka kupora bandari ya Mombasa baada ya kushindwa kulipa deni kwa wakati.
Kama nyie wababe mkalipe deni la wachina
aibu Sana hii uchumi wenyewe ni huuSasa unaongea maneno machafu kwa sababu mumeambiwa ukweli?
hamna kitu hapo njaa kushoto kuliaUmeona sehemu Kenya imeshindwa kulipa madeni kama Tanzania? ama kusamehewa kama Tanzania? ama kuna sehemu ndege ya Kenya imeshikwa na mkulima kisa madeni kama ya air Tanzania? mko hovyo., jiangalie kaka..,
wazembe wakubwaWalijaribu mababu zenu, wakajaribu baba zenu na nyie vizazi vya leo mumejaribu na kushindwa na hata vizazi vijavyo vitashindwa maana tunaendelea kuwapiga double double, mpaka siku mtaacha kuwa wazembe.
Kenya itaendelea kuwa super power ukanda wote huu.
Tuonyeshe wangapi wamekufa kwa njaa wewe fukara?.., unatamani sana., mko chini yetu licha ya our challenges.., mko hovyo!
Umesoma hiyo taarifa ya njaa vizuri ama you are reading your skewed thoughts into it kama kawaida yenu,. yaani mnatamani serikali ishindwe kushugulikia hii natural disaster, of which ni kama tu mafuriko, mnataka sana watu wafe njaa Kenya lakini mnapata tabu, halitatokea ng'o! 😂 😂 😂 😂 ,.,
Jifunze kuelewa taarifa kilaza, the news is more of a hypothesis based on the prevailing climatic conditions and circumstances, sio tukio bali ni tahadhari tu, ili serikali ijipange.., ama wewe ni wale kikundi cha ma semi illiterate humu? 😂 😂 ., soma taarifa tena..,
GoK ime set aside 2b shillings za Kenya not pesa zenu za madafu, ni Ksh2B. (Tsh 44Billion!).., tuko na hela, ukusanyaji wa kodi unadhihirisha., 😂 😂 ingekua ni uchumi wenu fukara, serikali haingekua na uwezo wa kujipanga vile GoK imejipanga..., read the news, sisi sio wenzenu, nyie fukara, shukuru Mungu kwa ardhi kubwa yenye rotuba na mvua kwa wingi.., licha ya haya, ufukara ni jina lenu la kati.., Tz, Nigeria, DRC and Ethiopia.,
Kenya drought exposes 2.4m at risk of hunger by November: WFP
FacebookTwitterEmailShare
Friday 1 October 2021 - 6:03pm
![]()
A harrowing drought in 2017 ravaged Kenya and brought neighbouring Somalia to the brink of famine
AFP/File | TONY KARUMBA
NAIROBI - At least 2.4 million people in Kenya risk going hungry by November as drought ravages the north and east of the country, a nearly threefold increase from last year, the World Food Programmed warned on Friday.
The East African country has been hit by an accumulation of calamities in recent years, including a months-long locust invasion from December 2019 and poor rainfall in 2020 and 2021, which has left the arid northern and eastern regions facing an emergency.
President Uhuru Kenyatta declared the drought a natural disaster last month, with 2.1 million people already grappling with hunger, according to the National Drought Management Authority (NDMA).
The WFP's alarming projection is nearly three times the figure recorded last year between October and December, when 852,000 people were facing severe food insecurity, the UN agency said.
"This drought comes right on the back of Covid-19 which has had a tremendous economic impact on livelihoods. It comes on the back of locusts and, in some areas, floods," WFP representative and country director Lauren Landis told AFP.
"We're desperately worried that the next short (rainy) season coming in October will also fail and that means then we're going to be in (an) extremely dire situation," she said.
"I fear we're going to reach the level of 2017, our last big drought here in Kenya. I think we're looking at 2.5 million people in the coming months that will be affected."
East Africa endured a harrowing drought in 2017 which also brought neighbouring Somalia to the brink of famine.
Experts say extreme weather events are happening with increased frequency and intensity due to climate change.
- Malnourished children -
The drought in Kenya has already left vulnerable populations reeling, the WFP said, with over 465,200 children under five and more than 93,300 pregnant and breastfeeding women suffering from acute malnutrition.
The Kenyan government announced earlier this month that it had allocated two billion shillings ($18 million, 15.5 million euros) to support an emergency response, with an emphasis on providing clean drinking water to residents of Kenya's 23 worst-hit counties.
"Experts are telling us signs are showing we might not get good rains, so we are preparing for the long haul," said Eugene Wamalwa, the minister in charge of decentralisation.
The Council of Governors, which brings together the leaders of the country's 47 counties, said they had set aside 1.34 billion shillings to fund emergency operations.
The authorities have also dispatched 14 trucks of food for livestock, the main source of income in the affected regions.
The food and water shortages have severely affected the ability to farm crops and rear cattle, raising the risk of conflict as people compete for access to land and essential supplies.
- Human-animal conflict -