KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

Kwani hujui faida ya makusanyo makubwa? Si ulisema wewe ni economist? Better roads, better ports and airports, more railway e.t.c.

We need to see roads from where there is plenty food to Turkana.
 
Drought is no longer a force majoure. It can easily be tamed compared to floods.
Nendeni kwa wale wamisri waliowapa msaada wa chakula wawaineshe.
Yes it can be tamed, but hapa serikali haijashindwa kusaidia watu wake., ni mikakati mwafaka tu ndio inatakiwa kuweka., na kukua pro active., sisi sio fukara hohe hahe kama nyie, janga kama hili likitokea tanzania serikali yenu itajinyea, mnaishi maisha ya auto-pilot in Tz., yaani nature is taking care of you na sio nyie wenyewe, mko hafifu sana, la sivyo hamunge orodheshwa kwa list ya nchi fukara zaidi Africa., tanzania ni ovyo.
 
etii!!?nyie so fukara huku mkipokea misaada ya chakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-182662525.jpg
 
Were it not for corruption, Kenya would be at per with Singapore
 
Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.

Ngapi zinaenda kulipia mkopo wa SGR ya machina na mikopo mingine?
 
476billions KSH ni sawa na 9,919.84billions TSH at exchange rate of 20.84TSH for 1KSH
 
Ngapi zinaenda kulipia mkopo wa SGR ya machina na mikopo mingine?
hata kama ni zote ni sawa tu. we borrowed because we have the means and ways of paying it back.

I know this is a concept that is alien to you Bongolalas....unsurprisingly
 
Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
Hiyo pesa ukitoa deni la mchina mnabakiwa na shiling ngapi? Au achukue bandari
 
Kwani deni la mchina linalipwa lote mara moja, chunguza ni ngapi serikali inalipa kwa mwaka kisha uje, hautosikia mkulima kashika KQ kisa madeni., lipeni madeni yenu fukara, wacheni kusamehewa madeni kila mara na ndege zenu kushikwa ovyo ovyo.,
 
maskini,wazembe wa kutupwa mnaletewa mahindi Hadi ikulu[emoji41][emoji41][emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
0fgjhs11l1ss99jfi.jpg
View attachment 1965065
 
Back
Top Bottom