Asante kwa maneno mazuri. Angalau wewe unakubali kwamba kuna tatizo mahali na mnastahili kujitahidi zaidi.I think it is a good evidence ya baadhi ya faida za capitalism na Pia kuipa challenge Tanzania to aim higher be creating a bigger and better tax base
Mashiba alone ni chanzo cha losses, agro taxes ni second abs poor plans za kimaendeleoni shida
Ukweli inatesa mitanzania π π πKakojoe ukalale
Huwa nawa ambia Tz ni fukara kiukweli na wanapinga, eti kwa sasa GDP ya Tz is above Kenya, yetu ni ya kupikwa, ila revenue income ni picha halisi ya uwezo wa uchumi.., numbers dont lie., π₯ πWadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
deletedWadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
Halafu 40 percent ya Pesa yote inaenda kwa UK it doesn't make any senseWadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
Ukweli inawatesa hadi basi, mnakurupuka ili mradi tu muongee hapa ni facts tuππππHalafu 40 percent ya Pesa yote inaenda kwa UK it doesn't make any sense
Kweli hatuwezi kushindana na nyie kwenye index za njaa, rushwa, insecurity, substandards, unplanned settlements, ethnicity, data cooking etc the list is endless.Huwa nawahurumia hawa wanavyopenda kujitutumua eti washindane na sisi wakati tunawazidi mara mbili kwenye mambo ya kiuchumi na kielimu.
Kwanza wenyewe wabahili, juzi wameongezewa matozo ikawa kama msiba wa taifa, sasa walivyokurupuka kwenye awamu ya tano kuanzisha miradi kote kote kiholela bila tathmini, sijui wanategemea itakamilishwaje, imebuma karibu yote.
Ukubwa wa uchumi ni tofauti kwa hiyo hakuna cha kushangaza hapo.Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi sote tunajua ni uchumi gani kati ya hizi mbili ya kwenye makaratasi.
Kuna wale wanaopinga. Wanasema kwamba uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi. Hii habari nimeileta huku ili kuwaelimisha watu hao. Hao ni akina Geza Ulole joto la jiwe eliakeem ichoboy01 The best 007Ukubwa wa uchumi ni tofauti kwa hiyo hakuna cha kushangaza hapo.
Kuna wale wanaopinga. Wanasema kwamba uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi. Hii habari nimeileta huku ili kuwaelimisha watu hao. Hao ni akina Geza Ulole joto la jiwe eliakeem ichoboy01 The best 007