KRA yavunja rekodi kwa kukusanya Kshs 1,607,000,000 kwa hela ya madafu hizo ni kama Tshs 36,961,000,000

Na hapo wamepigwa kodi mara 2 mpaka 3 ya Tanzania

Muulize mkenya bei za hivi vitu

Petroleum
Cooking gas
Umeme
Bottled water
Beer
Soda
Sigara
Pharmaceuticals
Tarrifs and charges

Zote zipo expensive mara 2 mpaka 3 ya Tanzania na bado hakuna tofauti ya maana kati ya makusanyo ya TRA na wao
 
Mkuu kifo chao kinakuja ni JNHP na SGR japo rate ya makato ya kodi itazidi kushuka lkn itakusanywa kwa wingi mno.
 
Ninyi pamoja na kubamizwa kodi. Mara 2 ya Tanzania kwenye kila kitu lakini bado tunawafukuza
Pamoja na kubamizwa kodi mara 2 mpaka 3 ya Tanzania lakini bado mnakopa na hamuwezi kuendesha mradi wowote bila mkopo View attachment 1543911
Naona umeanza kutapa tapa baada ya kuchemsha na kujaribu kutuaminisha kwamba mnaokota 34.9Tr. [emoji1] Inamaana kwamba mmewazidi S.A kwasababu umeme Tz ni wa bei ya chini zaidi ya S.A.? Hivi mnawezaje kupanga mambo yenu na Tzs 22.3Tr tu kutoka kwa TRA? Kwenye nchi yenye watu wengi zaidi ambayo ni karibia mara mbili ya Kenya kwa 'size'? Hapo ipo wazi kwamba shughuli zenu za kibiashara bado zipo chini sanaa. Alafu usizungumze kuhusu madeni. Mnaokota 24Tr( pamoja na 889B kutoka kwa serikali za mitaa), alafu madeni nayo ni 10.9Tr! [emoji1] Eti na bado utasikia, sisi ni dona kantrii! [emoji1]
 
Pamoja na kulimwa kodi mara 2 mpaka 3 ya Tanzania na kupata pesa kidoncho hivyo bado nusu ya hizo pesa zinaenda kutanua matumbo ya wanasiasa wenu kupitia mishahara ambayo mingi ni hewa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
We fala wacha kupotosha ilihali ukweli unaujua, hv unaelewa maana ya makusanyo ya nchi kwa mwaka? Umewekewa hapo kwamba tumekusanya tshs 34.9tril per annum hyo ni ukijumlisha na makusanyo from LGAs n.k, ss nyie wapuuzi mnataka kuchukua Govt domestic revenue only hzo nyingine mnamuachia nani?
 
Hujielewi jombaa, hela mnazokusanya ni 23,2Tr, yaani Govt. Domestic Revenue. Hiyo hiyo Govt. Domestic Revenue ya Kenya ni 36.9Tr. Hapo hata ukiongeza hiyo 815Bil kutoka kwa serikali za mitaa inakuwa Tzshs 24Tr tu. Madeni ndio yanajuimuishwa hadi inakuwa 34.9Tr. Ashakum si matusi, ila kama hujaelewa hadi sasa hivi basi bila shaka itakuwa wewe ni mbumbumbu kupindukia.
 
Weka hapa ushahidi kwamba hzo 36.9tr ni Govt domestic revenue only kwa GoK.
 
Pamoja na kulimwa kodi mara 2 mpaka 3 ya Tanzania na kupata pesa kidoncho hivyo bado nusu ya hizo pesa zinaenda kutanua matumbo ya wanasiasa wenu kupitia mishahara ambayo mingi ni hewa View attachment 1543958
Endelea kutafuta pa kupenyeza. Kenya watumishi wa umma hawalipwi hela kiduchu kama wenzao Tz, ambao wanaishi kama mashetani bila nyongeza kwa miaka zaidi ya mitano. Kuna kitu nchini Kenya kinaitwa SRC, Salaries & Renumeration Commission. Ambao jukumu lao ni kusawazisha mishahara na kuhakikisha kwamba nyongeza na allowances zinatolewa kwa muda unaofaa kisheria. Kenya watumishi wa umma na wafanyakazi wengine hawaishi kwa huruma na moods za wababe wa kisiasa iwe rais, makamu wake au mawaziri.
 

Hawa walishalaaniwa, ungetegemea kizazi cha sasa kiwe na kautofauti kidogo kwenye uelewa au udadavuaji wa data lakini heri hata wazee wao.
Mahesabu simple tu yamewashinda.
Wanakusanya hela kiduchu halafu liinchi lote hilo....duh!
Tutawakalia kwa muda mrefu sana, hebu ona 66% ndio hawa...

 
Hv ngj nkuulize swali, kati ya Wakenya ambao ardhi yao yenye rutba asilimia kubwa imekaliwa na wageni na WaTz ambao asilimia kubwa wanamiliki ardhi yao wenyewe wepi wana uelewa mkubwa?
 
Weka hapa ushahidi kwamba hzo 36.9tr ni Govt domestic revenue only kwa GoK.
Aisee haya ndio madhara ya kuruka moja kwa moja hadi kwenye comments, bila kuchambua taarifa kwanza. Kwani kinachozungumziwa hapa ni nini? KRA, Kenya Revenue Authority ambao jukumu lao ni ukusanyaji wa ushuru. Govt. Domestic Revenu Sio pato la serikali kwa ujumla au madeni au jambo lolote lingine. KRA Hits New Record in Tax Collection
 

Heheh muwakalie kwa umakini wanakunywa alkasusu hao watawachakaza vibaya..
 
Hebu niambie hyo 36.9tr ni makusanyo yanayohusu nn?
 
Zen nipe tofauti kati ya ushuru na kodi alafu niambie KRA inakusanya kipi kati ya hizo.
 
Hawa 66% ndio huwa tunajadili nao humu, wanakwaya wa Lumumba. [emoji38] Kazi kukariri tu na kucopy paste vitu ambavyo hawavielewi hata kidogo. Inasikitisha sana kwamba kwenye enzi hizi kuna watu kwenye jukwaa kama hili la 'Great Thinkers' ambao uelewa wao ni wa chini zaidi ya Sokwe akichambua chambua na kutafuna viroboto.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mishahara ipi mnayowalipa?

Wapo barabarani kila siku kudai ngawira zao wengine wana miaka 5 hawajawahi ona mshahara πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wanashindia rushwa na wizi wa mali ya umma
 
Mpk leo cjajua ni kwnn Wakenya mnaumwa zaidi na CCM kuliko WaTz.
 
We mbuzi jibu hili swali tafadhali [emoji116][emoji116]
Zen nipe tofauti kati ya ushuru na kodi alafu niambie KRA inakusanya kipi kati ya hizo.
 
Pamoja na majirani kukusanya pesa nzuri kama hyo bado hawana mipango ya kujitegemea kwa walichonacho icho,shida ikiingia kidogo wanakimbilia mikopo kama vile mafukara,hata hivyo unaweza ukapewa pesa mingi ukakosa akili za kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…