KRA yavunja rekodi kwa kukusanya Kshs 1,607,000,000 kwa hela ya madafu hizo ni kama Tshs 36,961,000,000

Pamoja na majirani kukusanya pesa nzuri kama hyo bado hawana mipango ya kujitegemea kwa walichonacho icho,shida ikiingia kidogo wanakimbilia mikopo kama vile mafukara,hata hivyo unaweza ukapewa pesa mingi ukakosa akili za kutumia
Tuusan hatuko the same, sisi tunafund sectors zetu kama elimu, afya, kilimo etc vizuri na kukopa kwa miradi..nyinyi mnazinyima sectors zenu fedha na kutegemea misaada..our priorities are different
 
Nafuu yetu iko kwa hawa 66%, hao hapo ndio mtaji

Tulia ufundishwe mikakati bwana mdogo, haya mambo hayatokei tu kama mfuko wa kinyesi unavyotua tu ovyo juu ya kichwa ya mtu hapo kibera.

Hizo takwimu zimetolewa kimkakati kuendana na muda na wakati tuliopo. Ingekuwa ni hapo ungesikia wakikuyu 100% wanaikubali jubilee..pathetic creatures.
 
Muendelee vivyo hivyo mbele kwa mbele kidumu chama, kijani hoyeee

Tuusan hatuko the same, sisi tunafund sectors zetu kama elimu, afya, kilimo etc vizuri na kukopa kwa miradi..nyinyi mnazinyima sectors zenu fedha na kutegemea misaada..our priorities are different
Tunafund 69% ya budget kutoka ndani sasa hatuko the same labda kwa ukubwa wa makusanyo na vipaumbele sio vinginevyo
 
Hehehe Punguza miraa na chang`aa akili yako inakaa kama bazenga... sasa huko ni ushagoo

hapa ni town kati downtown kasarani
View attachment 1544053

Naona hukuelewa ujumbe wangu au umejitoa ufahamu, ila nawaombea ushindi mwaka huu ili tuendelee hivi hivi maana sijui labda huyo Tundu Lissu anaweza akaja kuwaamsha na kutuondoa kwenye hii raha ambayo huwa tunapata ya kuwakalia.
 
Hehehe nafurahi kusikia kwamba mnapata raha saaanaa mnavyotukalia..hatuna hiyani tutaendelea kuwakuna na kuwapa raha zaidi majirani.

Tanzania bado sana kupata kiongozi nje ya CCM katika top office.
 
Naona hukuelewa ujumbe wangu au umejitoa ufahamu, ila nawaombea ushindi mwaka huu ili tuendelee hivi hivi maana sijui labda huyo Tundu Lissu anaweza akaja kuwaamsha na kutuondoa kwenye hii raha ambayo huwa tunapata ya kuwakalia.
Hakuna kipindi Wakenya mna hali ngumu km hiki cha JPM mpk imefika kipindi mnatamka hadharani kuwa "Tanzania ni jirani jeuri tumzoee tuishi naye" hapo kiongozi wenu alikuwa anawapa moyo kwamba Magu atapita hvyo tumzoee, mnajua fika kwamba GDP yenu kunuka ilikuwa inachangiwa kwa asilimia kubwa na Tz now inawapasa kupambana bila pato la bure bure kutoka Tanzania.
 
Naona hukuelewa ujumbe wangu au umejitoa ufahamu, ila nawaombea ushindi mwaka huu ili tuendelee hivi hivi maana sijui labda huyo Tundu Lissu anaweza akaja kuwaamsha na kutuondoa kwenye hii raha ambayo huwa tunapata ya kuwakalia.
jpm tena 5yrs,lazima mtage mayai.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Tumewabana kila idara maamaee mazao hakuna tena kupitia kwenu yanatokea hapa yanaenda Europe (hapa baada ya miaka 3 mtatuambia ardhi ya kulima Avocado na kutupita mmeitoa wp), madini hayatoki kizembe, utalii maanina hakuna cha KQ kuwaleta, minofu ya samaki km unavyoona tumeamua km vp bora tuwape ET au Rwandair kuliko nyie pia ucsaau dege letu la mizigo lipo njiani kuja mtatokea wapi nchi maskini nyie mnaotegemea uwakala kwa mali za Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tofauti ya makusanyo kati ya Tanzania na Kenya ni ndogo sana kwa sasa yaani almost tupo sawa

Tanzania inakusanya 1.05T KES
Kenya inakusanya 1.34T KES

View attachment 1543672View attachment 1543673
Ukiangalia vizuri,hata hayo makusanyo yao ni madogo cz Sisi hatuna viwanda vingi Kama wao pia hatuna ofisi za mashirika ya kimataifa kama wao.so,siku tukiwa na viwanda hata yasu tunavyotegemea kujenga na kuanza full operation,makusanyo yetu yatakuwa hata Mara mbili na yao.
 
Alaf
Alafu yote yanaishia mifukoni mwa mafisadi😆😆😆 nothing to bragg about in here.
 
jpm tena 5yrs,lazima mtage mayai.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Mkuu huyu mzee tunasubiri JNHP na sgr vianze kazi zen tukiona positive impact tunamuongeza 10 nyingine huo ndiyo mpango wetu karibu 80% ya WaTz wote cz nchi yetu katiba yetu hatupangiwi maamuzi, hii ndiyo raha ya ujamaa hatuna ujuwaji sie km jamaa flani wa north kila mtu anataka kuwa raisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa hivi vitasa tunavyowapa hawa jamaa nitalia sana kama ikitokea tukapata kiongozi asiye na mtizamo, uthubutu na caliber kama ya Magu. Hapa inatakiwa mpera mpera..chuma kinatoka, chuma kinaingia..
 
huko north nimesoma sehem vice president anampiga jungu rais wake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

yaani ni vurumai, kama wanyama.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Poleni wakenya ! Maana naamini sikuzote mwanamke ni mbea sana na anafahamika kwa umbea but ndo kiumbe pekee anaeweza kufa na siri yake yee mwenyewe. jambo ambalo hakuna mwanaume anaweza.
 
Kwa hivi vitasa tunavyowapa hawa jamaa nitalia sana kama ikitokea tukapata kiongozi asiye na mtizamo, uthubutu na caliber kama ya Magu. Hapa inatakiwa mpera mpera..chuma kinatoka, chuma kinaingia..
Unajuwa kwa yanayofanyika Tz ndiyo sheria ya kukuza uchumi wa kweli ambayo hata wazungu waliitumia kwa muda mrefu uliopita, hamuwezi mkajenga uchumi zen at the same time mkaenjoy haiwez kuwa sawa, mnapojenga uchumi wa kweli na co wa kwenye makaratasi lazima pesa ipotee lazima ajira iwe ishu kuipata but ROI ikianza ku operate mnaanza kutafuna cake ya taifa as a common good.

Yn kwa walichofanya awamu ya tano kwa hii miaka af bado maisha yakaendelea kuwa magumu miaka mi5 ijayo ntaenda kuchoma moto madaftari yng yote ya A level ya Economics pia hata chuo ntajiona nlienda kucheza na nkipata nafasi ntawaomba uongozi wanivue rasmi elimu waliyonipa cz it's useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…