KRA yavunja rekodi kwa kukusanya Kshs 1,607,000,000 kwa hela ya madafu hizo ni kama Tshs 36,961,000,000


Uko sahihi mkuu, nyumba ni msingi. Na uchumi ni miundo mbinu na miradi ya kimkakati. Ukiweza kucheza hapo bhas pesa ita flow tu katika shughuli mbali mbali kwa chain kuanzia juu hadi chini. Tofauti na kujenga uchumi wa watu wachache kuhodhi fedha na njia za kiuchumi ambao wakiamua kususa tu au kutoa fedha zao kwenye mzunguko nchi ina tetereka. Au kwa kutumia fedha zao wanaingiza mashinikizo katika uendeshaji wa nchi na upendeleo katika tender na miradi.

Kunatokea mabadiliko na mapinduzi makubwa sana ya kiuchumi, Kesho yetu itakuwa bora sana.
 
Mfano mdogo tu angalia Mv Victoria tayari imeshaanza kuleta positive impact kwenye uchumi kwa mda mfupi tu, watu walikuwa wanasafirisha mzigo tani moja karibu laki moja lkn now ni elfu 27 tu umeona hapo, ss jenga picha hii meli ipige kazi kwa miaka mitano pia kumbuka haipo moja kuna Mv mwanza pia inakuja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

Maisha yanakuwa mepesi, nguvu ya hela yetu inazidi kuonekana. Uwekezaji kuongezeka. Kuboreshwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja maana biashara zitakuwa kutokana na usafiri kuwa rahisi. Yani zinafunguka fursa kibao. Na ndio faida ya hiyo miradi ya kimkakati na miundombinu inaleta multiplier effect kwenye uchumi na kubadilisha hali ya maisha katika jamii.
 
Sisi tunakusanya Trillion siyo Billion huko tulishatoka!
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yaani mmekuwa na maumivu kiasi cha kulinganisha kila kitu, ona saaa hii mnaleta bado inawaacha uchi.

embu hariri hizo tarakimu kwanza ujione ulivyo kiazi.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Zero brain huyo nyang'ao! Watz tunakusanya Trillion siyo hizo Billion alizotaja hapo juu!!
 
Madalali michongo yao hamna watakufa njaa. Hiz sio zama za Nchi inayouza tanzanite Sana ni Kenya, sahv yupo JPM hawajui mtu makini mwenye sifa ya ufuatiliaji wa kina
 
Kwahiyo wewe uaona umeme TZ 1unit sh ngapi
 
Unaumwa, hakuna nchi yeyote ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya Kati ambayo inauzia Kenya bidhaa za jumla ya thamani ya juu zaidi ya inazonunua kutoka Kenya. Sio Tz, UG, Rw, Burundi, S.Sudan au DRC. Tz mna deficit ya mamilioni ya dola kwenye biashara na Kenya na mmeongeza kasi ya uagizaji wa bidhaa kutoka Kenya hadi mkavunja rekodi ya miaka miine. Pole jombaa, mnakata viuno kweli kweli kwa mziki wa viwanda vya manyang'au. Kenya's EAC exports rise to Sh102bn on thawing ties
 
Hehehe nafurahi kusikia kwamba mnapata raha saaanaa mnavyotukalia..hatuna hiyani tutaendelea kuwakuna na kuwapa raha zaidi majirani.

Tanzania bado sana kupata kiongozi nje ya CCM katika top office.

Hiyo 60% ndio mtaji wenu CCM, na ndio pona yetu....
 
hapa mnatakiwa mshukuru sio kujisifu, maana hatukawii kuwachomolea betry.

na habari mbaya kuliko zote kwenu ni kwamba bidhaa tunazonunua kwenu sio bidhaa muhimu kwenye maisha yetu ya kika siku, so muda na saa yoyote mkitikisa matako tunafunga mlango. si umeona suala la KQ lilivyokaa vibaya upande wenu huku likiacha madhara 0 kwa tz[emoji16][emoji16][emoji16].
bado kwingine huko.
 
ila hatukeshi kwenye tanzania section kutokana na inferiority complex

Hehehe kwa hiyo unaweza kuingia chumbani bila kupita sebuleni? Oh i forget kwa kibera inawezekana.

Mko huku kenyan section so news alert za TZ hamzioni..ila kwenye battle mnatumia reference za thread za siasani Bongo. Acha kuwa na cheap argument za namna hii budaa.
 
Imperial [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwanini msijilinganishe na Uganda kwani lazima mshindane na Tanzania? Tanzania haiwataki ninyi kausheni tu
kwake mk254 TANZANIA ni somo tosha, hajajilinganisha anaelezea mapungufu yake huoni anakuletea habari za ukame, ukame na Tanzania wapi na wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…