Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu.
Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole.
Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake.
Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini.
Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
Sitishi mtu, naongea ukweliAnawatisha, ila wanaume mliooa humu, Kama Mkeo kasoma kijijini kwa Darasa la kwanza mpaka form four day, na ndo huko anaenda kula siku kuu, haswa Kilimanjaro, chance ya kukusaliti ni 97.5%. Labda awe anajiheshimu sana.
Kwa sababu, kuna ma x wake wanaishi town, nao wamekuja siku kuu, wanaume wa watu, magari, pesa, beer, etc, aisee ndugu zangu, wake zenu wanaweza kuliwa.
Nani amewadharau?Ni wakati wa kuwaheshimu hawa wanawake, Hawa wanawake ni Mama zenu, Dada zenu na wake zenu.
Hapa ni wale wanaokwenda kukumbushia na Ma ex wao. Use brainUnamjua mwanamke malaya wewe..
Hata ufanyeje ataliwa tu,mwanamke malaya ni tofauti na mwanaume kicheche...mwanamke malaya ni habari nyingine hiyo...