uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Utasikia goma langu lililoolewa Dar, Mza au Dom limekuja kula sikukuu.
Lilivyoniona tu likatabasamu na kug'ata kidole.
Mara jamaa yangu nae kalipanga goma lake.
Mara kuna goma langu nimeliinamisha fasta jana. Limekuja kula sikukuu ila limeolewa mjini.
Ndo ilishabaki ishara ya heshima tu.
Ni wakati wa kuwaheshimu hawa wanawake, Hawa wanawake ni Mama zenu, Dada zenu na wake zenu.