Unachukulia mambo kirahisi rahisi sana,mbona Kuna maelfu ya walimu wako mtaani hawana kazi au wewe mwenzetu unaishi Tanzania ipi!!Mwalimu anakosaje shule ya kufundisha?
Sasa hzo pesa alizokuwa analipwa kwa unono alipeleka wapi?Tamaa ilimponza fisi,Kuna bro wangu naye aliacha kazi serikalini mwaka 2015 akaenda shule private maana aliahidiwa mshahara mnono na posho,alifanya kazi miaka 3 tu wakampiga chini.mambo yalipozidi kuwa magumu akaomba arudi kwenye ajira yake ya serikalini lakini was too late yaani ukitoka ndio nitolee hakuna kurudi,mpaka sasa tuko naye kitaa tunakunywa visungura amechoka amechakaa,Mimi sikushauri uache aisee komaa huko huko serikalini
Baki serikaliniHabari wadau wa JF.
Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je? Kuacha government na kwenda private would be a logical decision or not?
Karibuni wadau.
Hiyo kawaida jombi ww kama ulikuta baba yako mkuu wa mkoa tofauti na sisi baba alikuwa mkulima tena wa chini sana Sasa ukipata hata ualimu wa chekechea unajishikiza na maisha yanaendaMaskini wengi wanafanya kazi ualimu uaskari
Ni nzuri ila angali kisiwe chuo kinachomilikiwa na KKKT, BAKWATA, Anglican, Moravian au MwamposaHabari wadau wa JF.
Nimefundisha sekondari za serikali kwa miaka 12, hivi karibuni nimepata ofa ya ajira chuo kikuu binafsi kama assistant lecturer. Mshahara wangu wa serikali ni mdogo sana na nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama. Mwenye uzoefu naomba tusaidiane ushauri je? Kuacha government na kwenda private would be a logical decision or not?
Karibuni wadau.
Moderator funga uziTamaa ilimponza fisi,Kuna bro wangu naye aliacha kazi serikalini mwaka 2015 akaenda shule private maana aliahidiwa mshahara mnono na posho,alifanya kazi miaka 3 tu wakampiga chini.mambo yalipozidi kuwa magumu akaomba arudi kwenye ajira yake ya serikalini lakini was too late yaani ukitoka ndio nitolee hakuna kurudi,mpaka sasa tuko naye kitaa tunakunywa visungura amechoka amechakaa,Mimi sikushauri uache aisee komaa huko huko serikalini
Makumira hawalipi?Inabidi ujue historia ya hicho chuo vizuri.
Je Umesikia yanayoendelea Makumira ?
Nakazia...Omba likizo isiyo na malipo
Sio kweli bhana, Vyuo vikuu vyetu vina uhitaji sana na wakufunzi cha muhimu uwe na una master's degree ya GPA ya 4.0 na 3.8 bachelor degree kwa pamoja.nimepambana kupata nafasi chuo kikuu cha public nimekwama.
Kuna uzi upo watu wanalalamika hawajalipwaMakumira hawalipi?
Kuingia chuo private ni vyepesi kuliko Public institutionsSio kweli bhana, Vyuo vikuu vyetu vina uhitaji sana na wakufunzi.
Serikalini kuna nafasi nyingi tu za kuhamia sijadhani kama aliwahi kujaribu kuomba.Kuingia chuo private ni vyepesi kuliko Public institutions
Habari wadau wa JF.