Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Mwambie aisee. Kama walimtwanga mungu wa Buhongwa Mwanza watamuachaje yeyeUtachezea kichapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aisee. Kama walimtwanga mungu wa Buhongwa Mwanza watamuachaje yeyeUtachezea kichapo!
Mkuu sio PGO?Polisi wametia aibu, sasa kipolisi kikijidai kinanisumbua nakiuliza tu, unaijua GPO?
Great wakt alikamatwa kipnd chakee na amiachiwa kpnd chakee nakuonekana kesi ya mchongoo,au great maana yakee nn mkuuSema Samia is great!
Haki imefuata mkondo Tanzania hatuna gaidi mzawa na hajawahi kuwepo labda vizazi vijavyo.
Great!!!Habari wadau,
Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa.
Wakati nikiwa nimejilaza kwenye benchi(nimetoka shift ya usiku), nikiwaza mambo mbalimbali, likanijia wazo la kesi ya Mbowe na hapo hapo nikapata hisia kuwa huenda Mbowe leo ataachiwa.
Baada ya kupata hisia hiyo, nikanyanyuka nikaingia JF na kukutana na breaking news kuwa Mbowe kaachiwa. Hakika nimefurahi mno kwa ushindi huu wa kisiasa alioupata Mbowe,na pia nimeamini hisia za kweli zipo, na zaidi kuna uhusiano wa hisia tunazopata katika nafsi zetu na kinachoendelea katika Ulimwengu wa nje.
Hii si mara yangu ya kwanza kuwaza au kupata hisia juu ya jambo fulani na jambo husika kutokea, ila hili la Mbowe kuachiwa na watesi wake limenigusa mmo na kunifanya ni-share hii experience.
Intuition is real!
Hongera Mbowe na wenzako!
God is great!
Tuma kwenye join chain sijui kama sikoseiWana patikanaa wapi tukawapee biaa za bureee
sentensi ya mwisho inashida gani sasa hapo?
Angalia TU isiwe zamu Yako kuitwa gaidi na kusota lupango⛹️Utachezea kichapo!
Kila nikiisoma na kuirudia napata tafsiri tofautisentensi ya mwisho inashida gani sasa hapo?
Tatuta mwanasheria akusaidie mkuu usisome kama unasoma historyKila nikiisoma na kuirudia napata tafsiri tofauti
Kila nikiisoma na kuirudia napata tafsiri tofauti
Kwa hiyo ikirudi ndio itamfanya kuwa gaidi?
Roho ya kwanini inakusaidia nini mkuu?Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
Ndio kwanza moto unawaka.Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
VIONGOZI WA DINI HASA SHEIKH MKUU JUMATundu Lisu amefanya kazi kubwa sana!
thubutu!!Ndio kwanza moto unawaka.
Hapana... Mbowe hajawi kuwa gaidi!Kwa hiyo ikirudi ndio itamfanya kuwa gaidi?
💯✅Tatuta mwanasheria akusaidie mkuu usisome kama unasoma history