Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

Wewe unaekataa tz hatujashinda kesi wewe ndo uwek hukumu iliyoamua mkulima alipwe au makubaliano yakumlipa mkulima. Ukitaka athibitishe atakwambia ndege imeachiwa.
 
Unauliza kinafiki mahasimu wakubwa nyie
Kesho mtajua majibu yenu pale mwanza
Sikuzote Shetani hawezi shinda nguvu za mungu
Poleni
Umemjibu vyema mkuu , siku zte shetani hajawahi kumshinda mungu pamoja na mbwembwe zke zte. Kesho watazima tv zao, cjui km na matv yao pendwa km yataonyesha tukio hilo
 
Wewe sema mmetoa advance bei gani kwa mkulima? na hayo makaratasi mmesign kumalizia deni lini?
 

Nakucheki ulivyofura. Roho mbaya itawaua safari hii. Tunachojali ni Tanzania kamshinda mkulima hayo mengine ya hati, sijui cost haituhusu. Ndege hiyooooooooo ina come kesho. Michadema safari hii mtaimba aleluyah.
 
Hivi kulipa halafu ukapewa kilichokuwa kimeshikiliwa, nao ni ushindi? Ni kweli hujui, ni unafiki au unaujua ukweli ila unaamua kujifanya hujui kuwa tumetoa hela?
 
Magufuli pia awaombe radhi watanzania kwa kuwahadaa na kutumia fedha hovyo bila kuidhinishwa kwa utaratibu unaofaa ktk Mambo yasiyo ya manufaa.

Awaombe radhi watumishi anaowakandamiza haki zao zilizopo kisheria.

Kiongozi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu

Kwa vyovyote vile iluivyo, serikali ni serikali tu. Tunadanganyana bure kama tunafikiri nayo ni kama team zetu za mpira hapa Tanzania. Kila siku zina majanga.
Nashangaa kuona hata waliokaa serikalini wakaona jinsi mambo yanavyoendeshwa nao wameanzisha magenge ya kuhujumu serikali. Inawezekana kweli?
Tanzania ni nchi yetu. Tujifunze kwa waisrael. national interest hazina siasa. Ikibidi kuvaa combat, kila mtu atavaa aende frontline. Sisi tumepata nini kwenye akili zetu mpaka hatufikiri tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…