Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Nadhani tumelipa deni ngoja tumtafute mkulimaTumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tumelipa deni ngoja tumtafute mkulimaTumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Kamanda mbona umeumia hivyo?Nina uhakikabmmepokea ushauri was Member,Lisu na Shangazi kwamba "dawa ya Deni ni kulipa"
Mpaka Sasa kabundi,Wala rais hawajasema sababu za kuachiwa ndege.
Na sijui Kama watasema,mfano ni ile ya kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaekataa tz hatujashinda kesi wewe ndo uwek hukumu iliyoamua mkulima alipwe au makubaliano yakumlipa mkulima. Ukitaka athibitishe atakwambia ndege imeachiwa.Acha kuyumba na biti za mpiga sumari wewe cheza tuni yako! Ulikwina siku zote hizo usiuandike huu ushuzi wako hapa? Yaani mmelipa kimyakimya Kisha mnataka kutuimbisha mmeshinda kesi! Weka hukumu hapa tuione Kama hujanikimbia! Yaani hii praise team inampotosha sana Magu! Hebu awaweke Kando kwanza ili ajisikilize mwenyewe! Wakudadavua, sahau viti maalumu msimu ujao!
Umemjibu vyema mkuu , siku zte shetani hajawahi kumshinda mungu pamoja na mbwembwe zke zte. Kesho watazima tv zao, cjui km na matv yao pendwa km yataonyesha tukio hiloUnauliza kinafiki mahasimu wakubwa nyie
Kesho mtajua majibu yenu pale mwanza
Sikuzote Shetani hawezi shinda nguvu za mungu
Poleni
Tumeshinfa! Ushahidi ni ndege kuachiwa wewe ukilikataahilo kb weka hukum au nakala ya kulipa.akijibu hii unitag
Leteni hati ya hukumu na cost za kesi acheni polojo.
Hati za hukumu za south africa na za canada ziko wapi? kwanini iwe siri?
Mkulima kalipa garama za kesi? za kulala hotel za nyota 5 ujumbe wa kabudi South Na Canada!
Watanzania sio wajinga kiivyo.
mkuu andika tu hata kwa kisukuma maana sielewi hichi kiswahili chako kibovu.Tumeshinfa! Ushahidi ni ndege kuachiwa wewe ukilikataahilo kb weka hukum au nakala ya kulipa.
Akikujibu na mimi nifahamisheTumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Hatutaki porojo lete vielelezoUnauliza kinafiki mahasimu wakubwa nyie
Kesho mtajua majibu yenu pale mwanza
Sikuzote Shetani hawezi shinda nguvu za mungu
Poleni
Leteni hati ya hukumu na cost za kesi acheni polojo.
Hati za hukumu za south africa na za canada ziko wapi? kwanini iwe siri?
Mkulima kalipa garama za kesi? za kulala hotel za nyota 5 ujumbe wa kabudi South Na Canada!
Watanzania sio wajinga kiivyo.
Ndege inakuja,weka namba ya simu nikutumie nauli uende Mwanza kuishuhudia.Hatutaki porojo lete vielelezo , kapuku we !
Tumelipa, tumesamehewa au tumeshinda kesi? Naomba majibu
Mbona wazee wa Ruangwa aliwakimbia walipomtesti kwa moshi
Kamanda jielekeze kwenye hojaMbona wazee wa Ruangwa aliwakimbia walipomtesti na moshi