Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi


Utamadumi wetu unamatatizo sana yaani ndege imeshikwa wa watu wengine mara zaidi ya moja lakini badala ya kutafuta suluhisho kila mara ni kulalamikia upinzani ambao hawahusiki wala kufaidika na lolote kwa ndege kushidwa. Hatujui hata kwanini imeachiwa je tunajua ni kiasi gani kimetumiaka kulipa pesa ambacho hatuji, pesa ya mawakili wa kimataifa . Walikuwa wanalalamikia ni kulalamikia serikali kitokupata soluhisho kesho tena imeshikwa sehemu nyingine. Tuwe na utamaduni wa kutafuta soluhisho badala ya kutafuta wachawi ndani yetu.
 

Ajishitaki
 
Hujatuambia kama mmelipa ngapi mkulima
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Watanzania wenzetu hawachoki hata mie naanza kuamini kwamba wanaochochea ni wenzetu wa ndani wanafurahia mini Yarabi pesa yetu ilipwe mwingine badala ya kusaidia kujenga Nchi.
Ni tradion yetu kuwashangilia wenye pesa hata kama wenyewe hawaambulii kitu chochote kwenye utajiri huo wa hao watu wanao washabikiwa.

Huu utaratibu wa kuwashangilia na kuwasifia watu wenye hela ulianza zamani toka enzi ya Mwalim Nyerere. Nakumbuka Magazeti ya SUN na Uhuru wakati ule walichapisha habari za mbaharia aliyefanikiwa kurudi Tanzania na hela kem kem, gari, Computer, System na vitu vingine alivyo rudi navyo.

Gari lake na computer yake aliyo rudi nayo ilibandikwa na kuonyeshwa kwenye hayo magazeti. Ilikuwa gumzo kubwa sana mjini kuhusu baharia huyu. Sijui hali ilivyokuwa mikoani lakini Bongo ilikuwa the Story.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini zilikua nyingi hivyo? Basi wengine waweza kuanza kusafiri ili kumufuata atoe mgao mapema!!!
Mkuu milioni 33 dola ni nyingi
Ni matokeo ya siasa za majaribio ambazo ni matokeo ya wanasiasa kutafuta umaarufu

Mwalimu Nyerere asingepokea siasa za ujamaa wa kijinga tusingefikia hapa
 
Huyu jamaa akitoka jumba jeupe tutakuwa na madeni ya ajabu sana
 
Leta ushahidi vinginevyo ni majungu tu kama wakati ule mlisema anakabidhiwa ndege tarehe 2 mwezi huu.
Kama fedha isingelipwa lakini kwa sasa mpunga kibindoni ndege imeachiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…