Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

Kwani huko Japan ndo hupigwi? Mcheki Isanga family hapa Unguja si tumezoea gari toka Dubenga na UK
Yap pana dogo kavusha Disco 4 ya 2018 kuja Unguja kalipa % chache sana za kodi na anatembelea aisee huko mnafaidi sana akiamua kuja nalo bara anakuja nalo na kurudi huu upande wetu wa Ukraine sidhani kama angeweza hiyo Tozo yake...
 
Japan mkuu, SA wa Nigeria hawatakuacha salama mkuuu
Nani alikuambia wanigeria wanauza magari wewe na chumvi wamuachie nani?..SA kuna auction nyingi sana za magari na ukitaka kitonga nunua iliyo gongwa kidogo SA ni wakali wa panel beating inyooshe piga rangi upya ikitua bongo ni salute mtu hawezi jua iligongwa. Showroom zimejaa kila kona wewe ukanunue kwa mnigeria siutakuwa chizi. Kama unataka ndinga SA nenda mwenyewe utapata gari kali bei kitonga
 
Utata ndio unaanzia hapo, si rahisi kurudi kukupa jibu kila mtu anaogopa hata anaesema ni salama hakupi reliable link ya kuagiza vitu vimefichwa kama bange
Wacheki cars.co.za ila ni vizuri ukaenda in personal mboba karibu hapo mzee
 
you mean waafrika/makaburu magari yao yana usalama zaidi kuliko ya wazungu huko Ulaya

One learns something new humu JF everyday

in other words safety na kila kitu katika hayo magari waafrika wanaongoza
Mkaburu anaassemble hakuna gari yoyote dunia hii uikose showroom mkaburu kampuni kubwa zote zina branch pale so ni wewe tu. Toyota cars ni chache barabarani pale ni germany, usa na uk tu ndio zinatamba
 
Utata ndio unaanzia hapo, si rahisi kurudi kukupa jibu kila mtu anaogopa hata anaesema ni salama hakupi reliable link ya kuagiza vitu vimefichwa kama bange
www webuycars.co.za
 
Back
Top Bottom