Kuagiza gari kutoka UK vs South Africa, Japa & Singapore

Ulishaishi SA? Mimi nimeishi SA miaka mingi sana enzi za ujana sasa hao wapopo nimeishi nao. biashara na mpopo ni risk kubwa. Ingekuwa bongo sawa lakini sio SA kwanza wewe ni mgeni utaingizwa mjini mapema sana Kama hauamini fanya. CBD nyingi SA hauwezi kutembea mita miambili bila kukutana na car auction sasa kwann ukanunue kwa mpopo?
 
Kwa ufupi nimefuatilia ununuzi wa tractor la kulimia South Africa naona ni mazuri bora na uingizaji rahisi kufika.
Kitu pekee bado sijajua ni usajili wa hapa kwetu unajitaji gharama tena kwa tractor?.
Nikilijua hili naona bora bidhaa za South.
 
🙏🙏🙏
 
South Africa ni the best!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…