Kuangalia picha za ngono wakati wa punyeto inaweza kumpelekea kijana kufikiria mambo ya ushoga

Kuangalia picha za ngono wakati wa punyeto inaweza kumpelekea kijana kufikiria mambo ya ushoga

Mtoa mada labda hormones zako zipo upande wa pili..,

Coz Katika kuangalia porno mfano jinsia ya kiume anavoangalia porno anafeel kama yule men anayepiga mzigo ndiyo yy ndiyo maana anapandwa na hisia na kupelekea nyeto,, hivohivo Kwa jinsia ya female anahisi yule anayepgwa miti ndyo yy.

Ukiona men anafeel yule anayedinywani ni yey direct huyo ni shoga means nyege Zake zilishaamia nyuma mda mrefu.
 
Kwani mkuu huna Habari kama kuna mashoga wenye familia kabisa means wana mpaka watoto so wana fanya sex na nyeto na kufanywa vilevile
Wapo! Nilikua nime base kwenye mlengo mmoja wale real wabadilike wawe mashoga.
 
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko nayo anaanza kuangalia porn regularly akiwa tu kitandan macho yake yaliyojaa uzinzi yanampeleka site za ngono mule akiwa anaangalia ili apige punyeto anaona tupu zote za kike na kiume lakini x zilivyo watazamaji wanaonekana kuvutiwa zaidi na Jinsia KE yaani jinsi mwanamke anavyogunaguna ama kukunjwa kunjwa style mbalimbali.

Basi huwa kuna chemical Fulani ya Raha homoni hio huwa inaachiwa na kuufanya mwili usisimke katika ubongo na hii itaanza kumfanya Kijana ajaribu jaribu mikao mbalimbali ya kike yaani kiufupi Kijana Mbobezi Kwenye nyeto ya kutumia porno lazima ajaribu kujifanya mwanamke kidizaini fulani yaani porno imekaa kunoga kwa yule Anayeingiliwa kuliko anayepiga mashine.Na hata kama asipokuwa shoga ila tu kitendo cha kufeel kama analiwa ni fedheha.Hii si hatari sana ndugu zangu wa kataa ndoa na Wale chaputa A.
Mimi ninachoamini Wewe kama Ni shoga.. utakuwa shoga tu watu tumepiga Sana nyeto na hatujawsi fikiria huo ujinga mkuu..
 
Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko nayo anaanza kuangalia porn regularly akiwa tu kitandan macho yake yaliyojaa uzinzi yanampeleka site za ngono mule akiwa anaangalia ili apige punyeto anaona tupu zote za kike na kiume lakini x zilivyo watazamaji wanaonekana kuvutiwa zaidi na Jinsia KE yaani jinsi mwanamke anavyogunaguna ama kukunjwa kunjwa style mbalimbali.

Basi huwa kuna chemical Fulani ya Raha homoni hio huwa inaachiwa na kuufanya mwili usisimke katika ubongo na hii itaanza kumfanya Kijana ajaribu jaribu mikao mbalimbali ya kike yaani kiufupi Kijana Mbobezi Kwenye nyeto ya kutumia porno lazima ajaribu kujifanya mwanamke kidizaini fulani yaani porno imekaa kunoga kwa yule Anayeingiliwa kuliko anayepiga mashine.Na hata kama asipokuwa shoga ila tu kitendo cha kufeel kama analiwa ni fedheha.Hii si hatari sana ndugu zangu wa kataa ndoa na Wale chaputa A.
Tobaaa
 
Video za porn zimewekwa kwa makundi kulingana na uhitaji wa mtazamaji anapendelea jambo gani.

Kuna video za mashoga, video za wanawake wanene, video za wabibi au wababu wanafanya na vijana na mabinti wadogo, video za wanawake kwa wanawake, video za wanawake pekee yao bila mtu yoyote, video za ngono za fujo, video za ngono ya uchafu, etc.

Kwa kifupi zile categories zimeandaliwa kulingana na aina ya magonjwa ya akili watu wapo nayo kichwani na wanatamani kuona nini.

Ndio maana kwa mtu ambaye ana akili sawa sawa na timamu ambaye amelelewa vema kimaadili basi pornography haiwezi kumfanya mlevi au akapata uraibu sababu ndani yake hakuna category yoyote inayomsisimua.

Najua wengi mnaotazama video ya mwanaume na mwanamke wanafanya ngono mnahisi mpo salama sababu category hiyo ni straight but naomba ufahamu, mwanaume kutazama video ya namna hiyo ni sawa na kuwapo chumba kimoja na watu wengine wawili yaani mwanaume na mwanamke wanafanya ngono mbele yako. Hilo ni tatizo la kiakili pia.

Hivi haujawahi kusikia story za wanaume ambao wanataka mwanamke wake afanye ngono mbele yake na mwanaume mwingine ndipo yeye apate stimu za kumuingilia pia?

Jambo lingine, kuwa chumba kimoja na mwanaume mwingine ukifanya ngono hata kama mnafanya na mwanamke ni dalili ya bisexuality yaani mwanaume ambaye unavutiwa pia na wanaume wenzako sababu unaona kawaida kutazama maumbile yao kama sehemu ya msisimko.

Ni afadhali mwanamke uvutiwe kutazama wanawake kwa wanawake kidogo ina make sense. Ila kutazama wanaume wenzako wakiwa watupu na mwanamke au wakiwa wao kwa wao maana yake wewe una elements za utayari wa kulala kingono na mwanaume mwenzako ukishawishiwa.

Anyways, tuachane na haya mambo ya kuzimu, ngono inaonekana ni tamu na kusisimua ila ina madhara makubwa. Mahusiano ndio kila kitu, jiwekeze zaidi huko kwenye mahusiano ya kawaida na mtu wako na wekeza hisia furaha, burudani na mashamsham kwake bila kuhusisha ngono then utaona namna mwili wako utafanya kazi kitofauti.
 
Napata raha sana watu wanavyoteseka na ushoga, yaan mtu akiwa ana haha au anaumia na ushoga mie ndo naongezea dosage apagawe zaidi

Afu bado hamjasemaa, yaan hapo badoo.
USHOGA HOYEEEEEEEE!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una ndugu zako pia kumbuka
 
Mtoa mada labda hormones zako zipo upande wa pili..,

Coz Katika kuangalia porno mfano jinsia ya kiume anavoangalia porno anafeel kama yule men anayepiga mzigo ndiyo yy ndiyo maana anapandwa na hisia na kupelekea nyeto,, hivohivo Kwa jinsia ya female anahisi yule anayepgwa miti ndyo yy.

Ukiona men anafeel yule anayedinywani ni yey direct huyo ni shoga means nyege Zake zilishaamia nyuma mda mrefu.

Credit: Elon J

Nadhani mleta mada ana hoja tu ya msingi kaleta. Kutazama porn kuna madhara mengi sana yapo ambayo tunayafahamu na yale ambayo hatuyafahamu.

Pengine hoja ya mleta uzi ina ukweli ukizingatia ongezeko la mashoga, wasagaji na wala tigo kwa wanawake. Haya hayakuwapo wala kusikika sana miaka ya "BBC (Born Before Computer) but kwa sasa yameanza kutuzonga masikioni kutokea kila upande wa miji kuna story za mwanaume kuingiliwa, watoto kuingiliwa, wanyama kuingiliwa, wanawake kuingiliwa, na kila aina ya uhasi.

Kuna uwezekano kwamba mleta uzi ana hoja ya msingi ambayo inatakiwa kama wanajamii tujikite kupata ukweli zaidi.

Mwanaume kutazama mwanaume mwenzake akifanya mapenzi hata kwangu imekaa kushoto sana. Kwa kifupi siwezi kuwapo chumba kimoja na mwanaume mwenzangu ati tunamshughulikia mwanamke m'moja. Mimi binafsi hata kulala na mwanaume mwenzangu kitanda kimoja ni jambo ambalo sijalifanya nina miaka sasa kwasababu za kijinsia. Labda iwe mazingira ya dharula lakini kama ni mazingira ya kawaida sitolazimika kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzangu hata iweje. Sasa sembuse kumshuhudia akiwa anafanya ngono?

Mimi niseme tu wazi huwa kipindi natazama porn category inayonivutia ni lesbians basi. Hizi nyingine huwa naona kama bange tu huwa siwezi kutazama demu anapigwa mashine mbele yangu naona kama kawivu fulani halafu kutazama maumbile ya mwanaume mwingine huwa imenikalia kushoto sana naona ipo very negative na huwa inanikata stimu mbovu yaani ni turn off.

Anyways, yote kwa yote pornography sio nzuri tupunguze uraibu wake.
 
All psychologists know that neurons that fire together wire together. Let me explain this statement in more detail. If you listened to a song so many times during your high school years then years later you listened to it you are very likely to remember your high school years.

This happens because the neurons that fired when you listened to the song were wired with the neurons that fired when you had certain experiences during your high school years. See why we get bored of songs.

So what does this has to do with being homosexual?
two things usually happen to the person who watches porn regularly

  • 1) That person experiences pleasant feelings: The chemicals released while watching porn usually results in pleasant feelings. See how harmful is Porn addiction
  • 2) That person sees naked images of both sexes: The person who watches porn usually comes across naked images of both sexes
Now what do you think might happen if you kept experiencing pleasant feelings while watching naked members of the same sex (indirectly of course)?

The neurons that fire together wire together, remember?
In other words your brain might change its structure to let you find members of the same sex more attractive.
Of course this can never happen in a month or two but as the time passes and as you keep getting exposed to more images your brain can slowly change its structure and turn you into a homosexual person.

Why people who try might turn homosexual​

using creativity and being open minded as an excuse many people decide to try new wrong things. The problem is that if any kind of pleasure was experienced during a task then the brain might change its structure.

Of course this is just a theory and no solid evidence backs it yet but the reason i decided to write about it is that it makes a lot of sense.

As a person gets more familiar with naked bodies of the same sex he might start feeling more comfortable around them. This comfort can be transformed into pleasure because the person was already feeling good as a result of the high dopamine his brain was releasing.

When the pleasure gets interpreted by the brain in a wrong way it can be attributed to seeing members of the same sex and so the person can turn homosexual or bisexual.
Watakubishia ila mimi naona wazi unachokisema upo sahihi kupita maelezo.

Na ndio maana siku hizi ukiongelea ushoga tazama kuna makundi ya watu au rika fulani hawashituki kabisa tena wanaweza kufeel au kuwa offended kuona unawasema watu ambao wao hawawaoni kama changamoto kwao.

Mfano mimi ukiwasema lesbians huwa naona kama nakuwa naingiliwa kitu ambacho nipo nacho comfortable na huwa sipendi mijadala kuwahusu sababu ndizo porn huwa napenda kutazama. But ukiwasema mashoga, sijui wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile utaona naunga mkono kupiga vita na kukemea sababu si jambo ambalo ubongo wangu unalipenda ama kulikubali.

So niseme wazi unachokisema ni kweli ya kweli na ina uhalisia wa kisayansi kabisa. Mimi ulichoongea kimenivua nguo kabisa hapa hadi naona aibu. Nimeconfess hapa ili uzi wako usiende bila shuhuda za watu sababu watanzania ya bayana hatuambiani ya faragha tunasambaza. Haya ndio mambo ya kuwekana bayana.

Naomba nitumie fursa hii kukupongeza na kukupa big up kwa uandishi wenye reference nzuri ya uhalisia.
 
Back
Top Bottom