wa marangu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 259
- 407
sheria zimewekwa ili kuvunja.huwez kunyosha bila kupindisha hata ww kuna wakati inabidi uvunje hyo sheria unayoitetea wizara husika nayo ni moja wapo.bunge live wakati wa magufuli,kufungia vyombo vya habari,mikutano ya siasa,bajet nje ya mfumo, ukifata sheria moja kwa moja utaumia dadangu.mwache ajinafasi hyo ni starehe yakeUnafahamu nini kuhusu sheria ya habari nchini Tanzania 2016?