Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Kuangalia video za ngono ndani ya basi siyo uungwana

Get rid of those characters from websites

You literally cannot find a gentleman with all those qualities

Lemme help you dear no one is perfect to be called a gentleman although, certain attributes in some men can be near gentleness
Wewe una sifa zipi kati ya hizo juu?
 
Porn addiction is real aisee,kuna raisi huko Yugoslavia alikutwa anaangalia porn ofisini na kupiga punyeto....
Kwani raisi si mtu kama watu wengine. Kwa hiyo mwanangu dronedrake akisema anapiga nyeto mnaona kawaida ila akiwa raisi ishakuwa gumzo.

Punyeto ukishaanza hauwezi kuacha hata uwe nani utapumzika tu kwa muda 🤣🤣🤣

Sawa na porno
 
Nasafiri kuelekea Moro, nimepanda Aboud, nimekaa na mtu ana kama 46yrs. Anaangalia ngono na kaweka sauti ya chini.

Ila anatumia tablet havifichiki, huu sio uungana, nimejaribu kumuomba azime, anasema hiyo ndiyo starehe yake.

Nikereka, inabidi nijitande mtandio gubigubi nisione wala nisisikie.
Mtego huo
 
Back
Top Bottom