Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,456
Pia na michezo ya waswahili ipo ( ugagulalism)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee...kwahiyo ukiwa kwenge chumba cha choo kabisa. Utangulize mguu upi?? Haya ni maji ya kumezeshwa illogical.ni kwelikabisaaa... Ndo maana sisi waislamu tunaambiwa tutangulize mguu wa kushoto wakati wakuingia chooni ili ukiteleza uangukie nje( fanya majaribio utakubali hii kitu...) na kuomba dua ya kujikinga na mashetani wa chooni na kutoka tutangulize wa kulia( ili ikitokea bahati mbaya umeteleza uangukie nje pia..) na kuomba dua ya kumshuluru mungu kwa kutuondolea maudhi ya haja zetu zilizotupeleka huko.... Ila pia mtume s.a.w. Aliwahi kusema kuwa binadamu angepewa uwezo wa kuona mashetani wa chooni basi angekjisaidia vichakani maisha yake yote. Asante!!
Sasa kuangukia mchanga unafananisha kwenye masink... hata wagonjwa wa kwanza wa kipindupindu na ukimwi... walikuwa wakifikir ni uchawi. Ndii akili zetu zinapofanyia kazi....Lakini medula iyoiyo ukianguka nje ya choo unaweza usife unaona iyo
naunga mkono hoja.pia wengi hawasafishi vyoo kwa kusugua vema hata kama si vya tails ukiteleza tu imekula kwakouko sahihi sana mkuu pamoja sio medical personel umejitahidi kuelezea kisayansi fulani. Ukisoma forensic medicine wanaeleza hivyo sasa kwa nyongeza ni kuwa ni kwamba % ya watu wanaoanguka chooni huanguka kinyume nyume na kuangukia kisogo kinachotokea pale ni kuwa kutokana na uzito wa mwili akianguka fuvu hupasuka na unajua likipasuka fuvu nini kitatokea. Wale wanaopalalyse inategemea ameangukaje na force aliyotumia kuanguka nayo. Kwa hiyo chooni hakuna kitu ila ni utelezi unaosababisha kuanguka. Medically tunashauri vyoo visakafiwe non slipperly floor. Na ukiangalia waliowengi wanaoanguka ni wazee na watu wa makamu /wagonjwa hii inaelezwa pia mtu as anaprogress kwa age balance inapungua. Nitajitahidi ni waletee shule nzuri kuhusu hili i promise. Tuachane na fikra za kishirikina. Hasa vyoo vile vya kukaa ndo vibaya zaidi coz lile sink linaact kama panga au kompressor tofauti na vyoo vya shimo au vile vya kuchuchumaa. Nawakilisha.
Wee utakuwa ulikipapasakama ni kweli basi mm ningekua nimeshakufa maana kuna ck nilianguka bafuni kwangu nikapigiza kichwa nilihc kuzimia ila nikaamka nikaendela kuoga
bado jini Trumpasa ulifikiri wazungu majini yao wanayaita kwa majina ya kiarabu? Sisi wabongo kutokana na lugha ye2 kuwa maskini ndo mana 2mekopeshwa majina hayo ya majini kwa kiarab...
HahahahahahahahahahaMkuu kwa wapiga puri inakuwaje? au hao viumbe wanakuchukuliaje wakiona unapiga puri? sijawahi sikia mpiga puri kaanguka chooni, au ukianza kupiga puri hao majini wanaondoka?
Ukiingia unatanguliza mguu wa kushoto ukitoka unatanguliza wa kuliaAiseee...kwahiyo ukiwa kwenge chumba cha choo kabisa. Utangulize mguu upi?? Haya ni maji ya kumezeshwa illogical.
Nakubaliana na wwYes, there you are! You are quite right hundred percent.God exists because science has no contradiction.