Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

ukiwa over 50 yrs unakuwa prone to stroke na heart attack wakati wote...ukienda bafuni ukijimwagia maji baridi blood vessels vinavanya vasoconstriction au kusinyaa hi inasababisha presha kubwa kwenye moyo ambayo inaweza sababisha stroke au hat atak..so kuna scenarios nyingi hata ukiwa fit umepiga tungi alaf ukateleza ukapiga kichwa chini unaweza poteza maisha etc
 
baba yake mme wake shangazi yangu!! yeye alifia kabisa chooni! wala hata hakuwanguka, alikuwa anaumwa kidogo, alivyo jiskia aja watu kumpeleka chooni akafia huko
 
Danny masawe amemaliza kilakitu hapana uchawi wala nini hapo ni heart attack kumbuka na mtu anapoanguka bafuni hunguka ghafla so huwa kunauwezekano wa kichwa kuwa na maumivu makubwa ya ndani.
 
Habarini,

Nimekuwa nikipata tabu kufahamu juu ya hili swala la kuanguka bafuni/chooni na maswala ya kishirikina hii ni kutokana na matukio niliyo wahi kuyaona au kusikia kwanza kabisa.

2011 Nilipo kuwa shule fulani hivi ya wavulana usiku kuna kijana alitoka kwenda kujisaidia usiku wa manane then aliteleza na kuanguka baada ya hapo akadai kwamba ameona vitu vya ajabu, hakurudi alienda kwao akakaa kwa muda mrefu alipo rudi akadai ameenda kufanya mambo ya kimila la sivyo angefariki.

2014 nakumbuka wakati fulani pale hall 5 chuo rummate alitoka usiku kwenda kujisaidia wakati anatoka chooni aliteleza na kuanguka aliishiwa nguvu kutoka bafuni alirudi anajiburuza paka rum alikuwa na stress sana, alirudi kwao alipo waeleza wazazi wake alisema kwamba ni kama neema za Mungu tu yeye kupona ila asingepona kabisa.

2015 Kuna kijana alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo but kuna siku alienda chooni mabibo hostel aliteleza na kuanguka chooni alipo kimbizwa hospitali alifariki watu wakawa wanahusianisha na maswala ya kishirikina.

Leo pia jirani yangu ameanguka chooni amelalamika saana na kuogopa sana, amehusisha na mambo ya kishirikina.

Wana MMU naomba ushauri wenu na uzoefu wenu juu ya hili binafsi ni mkrist safi sipend kuyapa nguvu saana mambo ya kishirikina.

Cc. mshana jr njoo hapa mzee

Tusaidiane na kueleweshana
 
Last edited by a moderator:
Kuna Ukweli Imeshawahi ilimtokea Shemeji yangu akapata stroke baada ya mwezi mmoja akaaga dunia. Zio Kesi nyingi na Viashiria vya Unachokisema.
 
Hili swali lako ulipaswa uliulize kule Jukwaa la Intelegensia
 
Habarini wana MMU...

Nimekuwa nikipata tabu kufahamu juu ya hili swala la kuanguka bafuni/chooni na maswala ya kishirikina hii ni kutokana na matukio niliyo wahi kuyaona au kusikia..kwanza kabisa

2011 Nilipo kuwa shule fulani hivi ya wavulana usiku kuna kijana alitoka kwenda kujisaidia usiku wa manane then aliteleza na kuanguka baada ya hapo akadai kwamba ameona vitu vya ajabu, hakurudi alienda kwao akakaa kwa muda mrefu alipo rudi akadai ameenda kufanya mambo ya kimila la sivyo angefarik

2014 nakumbuka wakati fulan pale hall 5 chuo rummate alitoka usiku kwenda kujisaidia wakati anatoka chooni aliteleza na kuanguka aliishiwa nguvu kutoka bafuni alirud anajiburuza paka rum alikuwa na stress saana, alirudi kwao alipo waeleza wazazi wake alisema kwamba ni kama neema za mungu tu yeye kupona ila asingepona kabisa..
2015 Kuna kijana alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo but kuna siku alienda choon mabibo hostel aliteleza na kuanguka choon alipo kimbizwa hospitali alifarik..watu wakawa wanahusianisha na maswala ya kishirikina..

Leo pia jirani yangu ameanguka chooni amelalamika saana na kuogopa sana, amehusisha na mambo ya kishirikina..

Wana MMU naomba ushauri wenu na uzoefu wenu juu ya hili..binafsi ni mkrist safi sipend kuyapa nguvu saana mambo ya kishirikina..
Cc. mshana jr njoo hapa mzee tusaidiane na kueleweshana

Shetani uitwa mkuu wa giza, sababu kubwa ufanyakazi usiku wa manane ingawa hata mchana ufanyakazi, mifano uliyotoa ni ya usiku wa manane shetani yupo pamoja na wasaidizi wake kama wachawi na mapepo wametajwa kwenye Bible ndio maana kwa Mkristo kupewa amri ya kukanyanga nyoka na i'nge na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho, unapo zungumzia ulimwengu wa roho maana ni kazi zisizo honekana bali action zake uonekani na effects zake, Mala nyingi ingawa sio zote wanao anguka sio lazima kutokana na kazi za giza hofu na woga nayo ni sababu ya kumfanya mtu kufa ghafula kwa shinikizo pale hata usiku akitoka na kukutana hata na panya na sababu zingine za kichawi suluhisho ni kumwamini Mungu ndipo utakavyo fanikiwa na kupewa hiyo amri niliyoitaja hapo juu
 
Last edited by a moderator:
Shetani uitwa mkuu wa giza, sababu kubwa ufanyakazi usiku wa manane ingawa hata mchana ufanyakazi, mifano uliyotoa ni ya usiku wa manane shetani yupo pamoja na wasaidizi wake kama wachawi na mapepo wametajwa kwenye Bible ndio maana kwa Mkristo kupewa amri ya kukanyanga nyoka na i'nge na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho, unapo zungumzia ulimwengu wa roho maana ni kazi zisizo honekana bali action zake uonekani na effects zake, Mala nyingi ingawa sio zote wanao anguka sio lazima kutokana na kazi za giza hofu na woga nayo ni sababu ya kumfanya mtu kufa ghafula kwa shinikizo pale hata usiku akitoka na kukutana hata na panya na sababu zingine za kichawi suluhisho ni kumwamini Mungu ndipo utakavyo fanikiwa na kupewa hiyo amri niliyoitaja hapo juu

Asantee sana
 
labda ni uoga wao tu..mi nimeanguka mara kadhaa bafuni and am alive and kicking and God is always on my side...ila sikujua there's sth btn kuanguka chooni/bafuni na ushirikina
 
Wengi inawatokea wakiwa ktk hali ya kujisaidia haja kubwa. ......kuna hali ambayo mgonjwa wa pressure anakuwa anajisikia kwenda kujisaidia, ile hali ya kutumia nguvu kujikima ili Utoe haja kubwa ndio inayopelekea hali hiyo (nilielezwa siku nyingi na Dr lkn nimesahau. ...kama kuna Dr ataielezea vizuri )....
 
Ukianguka chooni aidha uvunje au umie sehemu kubwa au kifo chako kipo karibu au ukafa kwa wakati huo
 
bora usiku ,ukianguka chooni mchana wa saa sita hadi saba lazima uvute. Choo ni sehemu chafu na tundu la choo ni kiza kitupu, pepo hukaa humo. choo huhifadhi mambo mengi ,ikiwemo damu ya hedi,shahawa ,vinyesi, nywele za binadamu na maswala ya kiganga
 
Wakuu hii kitu nimeshudia juz kwenye mgahawa mmoja hv una flemu 2 ila zote wameweka migahawa mmoja wa wapemba ambao walikuwa wa kwanza na kwa hakika walikuwa wanapiga sana hela ila majuz tu banda la pili nalo likapata mtu naye kaweka biashara kama ileile ya wapemba yaan ya chakula asbh, mchana na usk,

Walianza zozana kwa maneno ila siku ya siku ikasemekana wale jamaa walioamia karbun walionekana wanavunja mayai na naz usk, baada ya kupita siku kama 2 yule jamaa mwenye banda la wapemba alifika pale kwenye biashara yake asbh na alipofika akasema ili eneo ni chafu sana…!!! Watu walibak wakiduwaa tu wasielewe nn kinaendelea eneo lile, siku ya pili baada ya kusema maneno hayo yule boss mdogo wake alidondoka choon by saa 7 mchana hv na yule kaka mtu akaja akajarbu muombea dua ila wap ikashindika kwan alikuwa ata kuongea hawez na mwili wote haukuwa na nguvu ndipo walipopata wazo la kwenda kwa mashekhe wabobez nao ndio waliofanikisha yule jamaa akajisikia nafuu na kuanza kuongea japo bado hajakaa sawa…!!!

hakika ayah mambo yananamna sio bure mara nyingi wanaonguka choon bas kama si kupooza bas kufa na ukipona kabisa ukawa mzima Mungu tu na kudra zake ila si kitu kizur kwakwel:-

Nilishuhudia mwenye hiyo habari hapo juu kwan ni karbu na ofsini kwangu si kama nilisimuliwa
 
Chooni hukaa pepo wachafu wa mauti nlisoma kitabu flani kinaelezea ndo mana wa imani flani hutanguliza mguu wa kushoto kabla ya kuingia. Mi mwenyewe hutokea nimeteleza bafuni au toilet hutoka mzima wa afya naamini blood of Jesus
 
Mtoa mada tafadhali sana, fafanua haya!

1. Je, n choo cha aina gani? Cha tundu au cha kuflash?
2. Je, ni choo chenye tails au laa?
3. Je, ni choo cha nyumba ya kupanga au nyumba binafsi?
4. Je, Ni choo kama choo pekee, au choo na bafu?

Mtoa mada, ukinijibu haya pengine ninaweza kufukiria Kwa umakini
 
Back
Top Bottom