Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Kuanguka chooni/bafuni na kufa, kuna uhusiano gani?

Mende pia hupenda kukaa chooni! Any way ngoja nikamuulize babu
 
watu wote wanao anguka chooni au bafuni huwa wana tatizo la BLOOD PRESSURE.Blood pressure ikipanda hadi kufikia kiwango cha kupasua mishipa ya damu na kusababisha damu kuvuja kwenye ubongo humfanya aliyepatwa na tatizo hili kuhisi anahitaji kujisaidia ama haja kubwa au haja ndogo, ndio kutapatapa kwenyewe kujaribu kuepukana na shida hiyo ya mwili.akifika huko hata haja yenyewe anaweza asipate anajisikia kuzunguzungu na kupoteza fahamu anaanguka kwasababu hana tena control ya mwili wake.sasa kupona au kutokupona kunategemea kiwango cha BLOOD PRESSURE na uwezo wa mwili wake kuihimili.watu wanaofanya mazoezi au kazi ngumu sana mishipa ya damu huwa ni migumu na inayohimili hata pressure kubwa ya damu.watoto mayai au wanao kaa kwenye viyoyozi mishipa yao huwa ni laini na isiyo weza kuhimili pressure kubwa, ikimkuta lazima atakufa tu akianguka chooni.
 
Either you are not serious au kuna uhusiano mpya wa maelezo uliyoyatoa.
 
'huku maisha ALHAMDULILLAH twashkuru kaka tuwazima mkuu wape DAA'WA wape DAA'WA wagalatia hao bora niseme wagalatia kuliko nikiwaita MAKAFIRI wanachukia kama nini aisee,wape DAA'WA kiongozi wangu wafungue macho kuna mengi hawayajui hao jamaa aisee wafungue macho KA MKUBWA sisi tuko nyuma hapa tunaku-back up na kukupa ma-back vocal mkuu NO FEAR thats how we sapoz to be mkuu...'

mmejaza gest zote idd hii
 
Pia tunatakiwa..tukisha maliza haja ufanye utoke ..pia mambo ya kuimba chooni ni mabaya kabisa..kuna viumbe humo ndo makaazi yao..so unapomaliza toka..

Hahaha...nimecheka mpaka bac, nani anaependa kukaa chooni jamani..~~
 
Haya mambo yanaaminika sana kwenye jamii ya kiislamu.hivyo ukweli wake ni jambo la kusadikika sana.binafsi mpaka kesho hata nikianguka pande hizo mara kumi hofu ya kupoteza maisha haiwezi kuniandama kwa sababu at last I know who has authority over my life.
 
Kwa kweli kuwepo kwa viumbe vingine tusivyo viona kwa macho yetu ni kweli lipo hata kidini,kwa waislamu hata wakiristo na viumbe hivyo vinayo mazingira vipendayo.Fikiri tu kama bakteria haonekani kwa kawaida na macho.Hivyo vipo viumbe vyema na vibaya tusivyo viona kwa kifaa chochote isipokuwa kwa maono.Sio chooni tu watu hupotea ata ufukweni mwa bahari.Yapo maajabu mengi kama UFO's vitu visivyofahamika vinavyo elea angani,vipo vyenye maumbo yanayo fanana na binadamu.Kwahiyo chooni ni makazi ya viumbe mbalimbali.
 
Kwa kweli kuwepo kwa viumbe vingine tusivyo viona kwa macho yetu ni kweli lipo

Utajuaje "ni kweli lipo"?

hata kidini,

Kwa nini kidini kuwe "hata"?

kwa waislamu hata wakiristo na viumbe hivyo vinayo mazingira vipendayo.

Na vipi kwa sie ambao si waislamu wala wakristo?

Fikiri tu kama bakteria haonekani kwa kawaida na macho.

Bacteria anaonekana kwa kawaida kwa macho kupitia microscope, kwa hiyo siwezi kufikiri kwamba bacteria haonekani kwa kawaida kwa macho. Mfano wako haufai.

Hivyo vipo viumbe vyema na vibaya tusivyo viona

Kama viumbe hivi ni "tusivyo viona" umejuaje kama vipo?

kwa kifaa chochote isipokuwa kwa maono.

Kwa maono unaweza kuona kwamba huvioni pia.

Sio chooni tu watu hupotea ata ufukweni mwa bahari.

Kwa hiyo kupotea unaweza kupotea popote, hata jikoni. Watu wanaishi miaka 30-60 hawajafanyiwa comprehensive checkup hata moja, wakianguka popote pale mnawezaje kushangaa?

Mimi nashuhudia, pilau la Eid lote hili linanukia. Nishawahi kumuinua babu anakwenda lindoni mwezi kama huu uliopita wa Ramadhani. I wasn't more than 17. Babu anakwenda lindoni, kafunga Ramadhani - alikuwa kabeba futari yake, na pia kaniambia baada ya kuamka-, probably katembea mwendo mrefu, kaanguka kama mita hamsini mbele ya macho yangu. Sikufikiri jini wala nini, nikafikiri tu huyu babu kachoka kaanguka (nilikuwa hata sijui kwamba kafunga Ramadhani hapo)

Yapo maajabu mengi kama UFO's

Upo si maajabu, ni Unidentified Flying Object

vitu visivyofahamika vinavyo elea angani,

Vitu visivyofahamika haviwezi kuwa maajabu kwa sababu tu havifahamiki. Hatufahamu kwamba jua litachomoza kesho, lakini likichomoza hilo litakuwa si jambo la ajabu.

vipo vyenye maumbo yanayo fanana na binadamu.Kwahiyo chooni ni makazi ya viumbe mbalimbali.

Kama bacteria na amoeba, vingine unaweza kuvitengeneza kwa akili tu lakini vikawa si vya kweli.
 
Ha ha ha ha ha ha ulikumbuka nini ndugu yangu!?...

Dah! Umenifurahisha sana.

kuna jimama tumepanga nyumba moja... linapenda kukaa uchi, limejaliwa kalio asikwambie mtu... huwa nikienda oga nashangaa nalikumbuka
 
mimi siamini katika majini hata kidogo, lakini the story behind ni kuwa wengi huanguka chooni kwa kuteleza hasa most of our toilets are highly slippery, lakini kupata stroke due to either hypertension or ischemic stroke, au hata kupata kizungzungu hasa tunasema hypostatic hpotension yaan wakati mtu anasimama baada ya kukta gogo anasimama haraka hii husababisha BP kushuka ghafla na kusababisha damu kupungua kwenye ubongo ambayo husababisha kizunguzungu na kuanguka ghafla na mara nyingi huangukia kwa nyuma na kujipiga kwenye sink la choo na kusbabisha fuvu la kichwa kupasuka na kusababisha mtikisiko wa ubongo yaani countercoup concassion. this is the physiological behind the fall on toilets and shower rooms.
 
mkuu ni kweli 100% ya wanao anguka chooni hufa kwasababu kuanguka chooni huwa kunahusishwa sana na mambo ya kiswahili au kishirikina.
hii kitu ipo sana tu kwa hali ya kawaida kuanguka chooni ni ngum sana na kama ikitokea umeanguka mara nyingi ushilikina huhusishwa.
mm nilisha wahi msikia bibi 1 akisimulia kuwa dawa 1 wapo huduma ya kwanza ya kumpa mtu ambaye kadondoka chooni kabla hauja mtoa chooni mburuze au mnyanyue mpaka katikati ya mlango unamuweka katikati chini ya mlango na unamlisha kitu kisafi ambacho hakiendani na mazingira ya chooni .mfano wengi sana hutumia NDIZI unaimenya na kumlazimisha mpaka ale hata kama akiwa amefunga mdomo na mara nyingi watu waangukao chooni midomo yao hukaza huwa hawawezi kuachama kilahisi lahisi so jitahidi umlazimishe mpaka ale ndizi hiyo na kama alikuwa kaanza kukata kauli utaona anaanza kuongea na kuchezesha macho ikiwezekana kuongea kabisa.
then ndio mpeleke kwamatibabu zaidi.

mwenye swali ruksa kuuliza

Mtakuja ku wauwa watu nyie ,shauri zenu
 
i'm still worried and puzzled

mimi nimewahi kuanguka chooni ambapo hapo hapo ni bafuni ktk nyumba ya kupanga hapa dsm.

hii imani ya kuhusisha kuanguka chooni na ushirikina na kifo pia naifahamu na kabila letu huwa wanaisema na wanahofu sn.

nilichanika kisogoni nikashonwa nyuzi kazaa.. sikumwambia mtu zaidi ya mpenzi ambae alikuwa around as sikutaka watu waenitie hofu.

nilisali na kwa imani nikasema hii ni ajali kama ajali zingine as kulikuwa na tiles na nilikuwa naoga.
 
Duuuuuhhh
Watanzania bwana!
Ndio maana nchi nzima ilihamia Samunge kunywa kikombe..
 
kunani chooni? inabidi maprofesa wetu wachunguze
Hata wakichunguza hao Ma-Profesa wenu hawawezi kuona kitu huko chooni. Kuna shetani mbaya kila anaye anguka mwisho wake anapatwa na ugonjwa wa kupooza Stroke na asipojishughulikia kujitibia basi mwisho wa huo ugonjwa aliopata ni kifo tu hakuna kitu kingine zaidi ya hicho kifo tujihadhari tunapokwenda chooni.
 
watu wote wanao anguka chooni au bafuni huwa wana tatizo la BLOOD PRESSURE.Blood pressure ikipanda hadi kufikia kiwango cha kupasua mishipa ya damu na kusababisha damu kuvuja kwenye ubongo humfanya aliyepatwa na tatizo hili kuhisi anahitaji kujisaidia ama haja kubwa au haja ndogo, ndio kutapatapa kwenyewe kujaribu kuepukana na shida hiyo ya mwili.akifika huko hata haja yenyewe anaweza asipate anajisikia kuzunguzungu na kupoteza fahamu anaanguka kwasababu hana tena control ya mwili wake.sasa kupona au kutokupona kunategemea kiwango cha BLOOD PRESSURE na uwezo wa mwili wake kuihimili.watu wanaofanya mazoezi au kazi ngumu sana mishipa ya damu huwa ni migumu na inayohimili hata pressure kubwa ya damu.watoto mayai au wanao kaa kwenye viyoyozi mishipa yao huwa ni laini na isiyo weza kuhimili pressure kubwa, ikimkuta lazima atakufa tu akianguka chooni.

ahsante, kuna wazo nimepata hapa...(My first comment on JM.)
 
Back
Top Bottom