Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu wote wanao anguka chooni au bafuni huwa wana tatizo la BLOOD PRESSURE.Blood pressure ikipanda hadi kufikia kiwango cha kupasua mishipa ya damu na kusababisha damu kuvuja kwenye ubongo humfanya aliyepatwa na tatizo hili kuhisi anahitaji kujisaidia ama haja kubwa au haja ndogo, ndio kutapatapa kwenyewe kujaribu kuepukana na shida hiyo ya mwili.akifika huko hata haja yenyewe anaweza asipate anajisikia kuzunguzungu na kupoteza fahamu anaanguka kwasababu hana tena control ya mwili wake.sasa kupona au kutokupona kunategemea kiwango cha BLOOD PRESSURE na uwezo wa mwili wake kuihimili.watu wanaofanya mazoezi au kazi ngumu sana mishipa ya damu huwa ni migumu na inayohimili hata pressure kubwa ya damu.watoto mayai au wanao kaa kwenye viyoyozi mishipa yao huwa ni laini na isiyo weza kuhimili pressure kubwa, ikimkuta lazima atakufa tu akianguka chooni.
'huku maisha ALHAMDULILLAH twashkuru kaka tuwazima mkuu wape DAA'WA wape DAA'WA wagalatia hao bora niseme wagalatia kuliko nikiwaita MAKAFIRI wanachukia kama nini aisee,wape DAA'WA kiongozi wangu wafungue macho kuna mengi hawayajui hao jamaa aisee wafungue macho KA MKUBWA sisi tuko nyuma hapa tunaku-back up na kukupa ma-back vocal mkuu NO FEAR thats how we sapoz to be mkuu...'
akikutokea unapiga nae picha halafu unaweka instagram mkuu
huo ubavu utakuwepo kweli?
mmejaza gest zote idd hii
Mkuu Mtoto halali na hela huyu.@Hiram Abiff anachezea Jini ngojea siku moja limokee kama hajajiharishia mwilini mwake.huo ubavu utakuwepo kweli?
Mkuu Mtoto halali na hela huyu.@Hiram Abiff anachezea Jini ngojea siku moja limokee kama hajajiharishia mwilini mwake.
Acha kutishia watu mkuu
Pia tunatakiwa..tukisha maliza haja ufanye utoke ..pia mambo ya kuimba chooni ni mabaya kabisa..kuna viumbe humo ndo makaazi yao..so unapomaliza toka..
Kwa kweli kuwepo kwa viumbe vingine tusivyo viona kwa macho yetu ni kweli lipo
hata kidini,
kwa waislamu hata wakiristo na viumbe hivyo vinayo mazingira vipendayo.
Fikiri tu kama bakteria haonekani kwa kawaida na macho.
Hivyo vipo viumbe vyema na vibaya tusivyo viona
kwa kifaa chochote isipokuwa kwa maono.
Sio chooni tu watu hupotea ata ufukweni mwa bahari.
Yapo maajabu mengi kama UFO's
vitu visivyofahamika vinavyo elea angani,
vipo vyenye maumbo yanayo fanana na binadamu.Kwahiyo chooni ni makazi ya viumbe mbalimbali.
Ha ha ha ha ha ha ulikumbuka nini ndugu yangu!?...
Dah! Umenifurahisha sana.
mkuu ni kweli 100% ya wanao anguka chooni hufa kwasababu kuanguka chooni huwa kunahusishwa sana na mambo ya kiswahili au kishirikina.
hii kitu ipo sana tu kwa hali ya kawaida kuanguka chooni ni ngum sana na kama ikitokea umeanguka mara nyingi ushilikina huhusishwa.
mm nilisha wahi msikia bibi 1 akisimulia kuwa dawa 1 wapo huduma ya kwanza ya kumpa mtu ambaye kadondoka chooni kabla hauja mtoa chooni mburuze au mnyanyue mpaka katikati ya mlango unamuweka katikati chini ya mlango na unamlisha kitu kisafi ambacho hakiendani na mazingira ya chooni .mfano wengi sana hutumia NDIZI unaimenya na kumlazimisha mpaka ale hata kama akiwa amefunga mdomo na mara nyingi watu waangukao chooni midomo yao hukaza huwa hawawezi kuachama kilahisi lahisi so jitahidi umlazimishe mpaka ale ndizi hiyo na kama alikuwa kaanza kukata kauli utaona anaanza kuongea na kuchezesha macho ikiwezekana kuongea kabisa.
then ndio mpeleke kwamatibabu zaidi.
mwenye swali ruksa kuuliza
Hata wakichunguza hao Ma-Profesa wenu hawawezi kuona kitu huko chooni. Kuna shetani mbaya kila anaye anguka mwisho wake anapatwa na ugonjwa wa kupooza Stroke na asipojishughulikia kujitibia basi mwisho wa huo ugonjwa aliopata ni kifo tu hakuna kitu kingine zaidi ya hicho kifo tujihadhari tunapokwenda chooni.kunani chooni? inabidi maprofesa wetu wachunguze