Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, ni hatuna Polisi Tanzania. Bila kupepesa macho wala maneno, sijuwi imeanza lini lakini ni kweli Polisi ya Tanzania ni Mafia na hata zaidi ya Mafia.Mimi ni mtoto wa Polisi na mzee wangu alikuwa mkubwa sana kwa miaka mingi kwenye jeshi hili. Kuanzia IGP harun mahundi aondoke 1996 Polisi imegeuzwa genge la wahuni na mafia. IGP Mahita ndiye aliye anzisha genge la umafia Polisi na viongozi wa serikali wamekuwa wakifumbia macho makusudi kwasababu genge hili limekuwa likitumia kuwasaidia kisiasa na kuwazuia wapinzani na kuiba kura.
1. Kwanza walianzisha mifuko ambayo haipo kisheria ambayo inakata makato kwa kila polisi mfano kuna mfuko wa kufa na kuzikana ambao Polisi wa chini hawaruhusiwi kuhoji pesa inatumikaje na wala hawapati chcochote! hata wakifiwa
2. Kikosi cha ulinzi maalamu kama wa banks na sehemu nyeti kampuni zinalipa Polisi lakini sio serikali wala Polisi wengine wanajua pesa inaenda wapi.
3. Rushwa barabarani kila RPC anapata chake kutoka kwa mkuu wa traffic wa mkoa na kati ya hizo kuna fungu linaenda kwa wakubwa makao makuu na hakuna mtu wa kuhoji
4. Kuna pesa inategemea kuletwa ya rushwa kutoka kwa RPC wa mikoa ya mpakani. Hii ruhswa na kuingiza na kutoa magendo bila kodi. RPC asipo tuma pesa anahamishwa haraka sana. Mikoa kama Kagera, Mwanza, Mara, Tanga, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha wanahusika na hili. Yaani ilifika wakati RPC akipandishwa cheo na kupekwa makao makuu Dar anachukia kama kapata msiba kwasababu hakuna rushwa makao makuu kama mikoani.
IGP mwema alijaribu kusafisha lakini hajafanikiwa kwasababu mitandao ilikuwa imeota mizizi sana na utamaduni wa rushwa umekuwa mkubwa sana kwa muda mrefu. Bado kuna wizi mkubwa kwa Polisi wa railways, vitengo vya magari na spair parts.
Polisi ni lazima ivunjwe na kuundwa upya na Polisi wa chini wawe na uhusu wa kusema maovu bila kuogopa mabosi wao. Lakini kuwe na uangalizi maalumu kama Bodi ambayo iwe na wanasheria na ofisi ya mkaguzi mkuu na iruhusiwe nkohoji Polisi wa kawaidia bila vipingamizi kwa wakati wowote.
Yaani Sirro nyumba yake ya Musoma ilikuwa inasimamiwa na maafisa wa Polisi kwenye ujenzi wakati ni nyumba binafsi. Lakini imejegwa na wadhamini. Tbaigana alijengewa mpaka Hoteli na wadhamini waziwazi. Hawa wadhamini ni watoa rushwa na wenye magendo
Hakuna kitengo wafanyakazi wanafanya kazi kwa shida kama Polisi wa chini. Lakini hakuna kitengo wakubwa wanaishi vizuri kama Polisi Mahita alikuwa na helikopta yake kabisa ya kumpeleka Morogoro kwao weekend
Hakuna kiongozi amesaidia Polisi huko nyuma kama Mahundi ambaye alikuwa nasifika kwa kuwa na akili sana
View attachment 2575252![]()
Mwanzilishi wa mafia ya polisi
View attachment 2575253![]()
Polisi sasa hivi wamegeuka kichekesho mbele ya jamii pana ya kitanzania. Hawa wachumiatumbo Mungu anawaona.Mimi ni mtoto wa Polisi na mzee wangu alikuwa mkubwa sana kwa miaka mingi kwenye jeshi hili. Kuanzia IGP harun mahundi aondoke 1996 Polisi imegeuzwa genge la wahuni na mafia. IGP Mahita ndiye aliye anzisha genge la umafia Polisi na viongozi wa serikali wamekuwa wakifumbia macho makusudi kwasababu genge hili limekuwa likitumia kuwasaidia kisiasa na kuwazuia wapinzani na kuiba kura.
1. Kwanza walianzisha mifuko ambayo haipo kisheria ambayo inakata makato kwa kila polisi mfano kuna mfuko wa kufa na kuzikana ambao Polisi wa chini hawaruhusiwi kuhoji pesa inatumikaje na wala hawapati chcochote! hata wakifiwa
2. Kikosi cha ulinzi maalamu kama wa banks na sehemu nyeti kampuni zinalipa Polisi lakini sio serikali wala Polisi wengine wanajua pesa inaenda wapi.
3. Rushwa barabarani kila RPC anapata chake kutoka kwa mkuu wa traffic wa mkoa na kati ya hizo kuna fungu linaenda kwa wakubwa makao makuu na hakuna mtu wa kuhoji
4. Kuna pesa inategemea kuletwa ya rushwa kutoka kwa RPC wa mikoa ya mpakani. Hii ruhswa na kuingiza na kutoa magendo bila kodi. RPC asipo tuma pesa anahamishwa haraka sana. Mikoa kama Kagera, Mwanza, Mara, Tanga, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha wanahusika na hili. Yaani ilifika wakati RPC akipandishwa cheo na kupekwa makao makuu Dar anachukia kama kapata msiba kwasababu hakuna rushwa makao makuu kama mikoani.
IGP mwema alijaribu kusafisha lakini hajafanikiwa kwasababu mitandao ilikuwa imeota mizizi sana na utamaduni wa rushwa umekuwa mkubwa sana kwa muda mrefu. Bado kuna wizi mkubwa kwa Polisi wa railways, vitengo vya magari na spair parts.
Polisi ni lazima ivunjwe na kuundwa upya na Polisi wa chini wawe na uhusu wa kusema maovu bila kuogopa mabosi wao. Lakini kuwe na uangalizi maalumu kama Bodi ambayo iwe na wanasheria na ofisi ya mkaguzi mkuu na iruhusiwe nkohoji Polisi wa kawaidia bila vipingamizi kwa wakati wowote.
Yaani Sirro nyumba yake ya Musoma ilikuwa inasimamiwa na maafisa wa Polisi kwenye ujenzi wakati ni nyumba binafsi. Lakini imejegwa na wadhamini. Tbaigana alijengewa mpaka Hoteli na wadhamini waziwazi. Hawa wadhamini ni watoa rushwa na wenye magendo
Hakuna kitengo wafanyakazi wanafanya kazi kwa shida kama Polisi wa chini. Lakini hakuna kitengo wakubwa wanaishi vizuri kama Polisi Mahita alikuwa na helikopta yake kabisa ya kumpeleka Morogoro kwao weekend
Hakuna kiongozi amesaidia Polisi huko nyuma kama Mahundi ambaye alikuwa nasifika kwa kuwa na akili sana
View attachment 2575252![]()
Mwanzilishi wa mafia ya polisi
View attachment 2575253![]()
Mama Samia aliwaambia wakubwa wa polisi pale moshi kua samaki anaoza kuanzia kichwani. Yaani matendo machafu unayoyaona Kwa Askari wadogo, chanzo chake ni huko juu.
Ni ukweli mtupu. Na matatizo ya hii taasisi yote yanajulikana hakuna haja ya kudunda tume. Fikiria Askari kupata stahiki zake mpaka ahonge je huyu mtu atatutendea haki?. Mfumo wa uajiri umejaa kujuana au rushwa.
Ongezea na hotel kali sana Arusha Njiro na Chanika DSM akiziita Butiama sijui ndo mshahara ama rushwa!!..Igp Simon Sirro amejenga Kanisa kwao mkoani Mara.🤣
Hukumsikia Mama Samia juzi? Alisema sakata la over invoicing ya ndege limeanzia hapo hapo.Ofisi zote serikalini na taasisi zote kuna rushwa labda ikulu tu ndio kunaweza kuwa hakuna rushwa
Nani kakutenda laazizi nipe jina nimshukie kama mwewe... nataka kuchua nafasi ya marehemu gozi...Naam, ni hatuna Polisi Tanzania. Bila kupepesa macho wala maneno, sijuwi imeanza lini lakini ni kweli Polisi ya Tanzania ni Mafia na hata zaidi ya Mafia.
HasbunAllah wa niima l'wakil.Nani kakutenda laazizi nipe jina nimshukie kama mwewe... nataka kuchua nafasi ya marehemu gozi...
Ashughulikie "partners in crime" ?Inamaana Magufuri hakuluhusiwa kufika huko?Au alikuwa naye naogopa?
Nilisikiaga kaondoka na Korona basi nilipata wrong informationHasbunAllah wa niima l'wakil.
AlhamduliLlah Gozi linadunda kama kawa. Allah ampe unri mrefu
Mahasidi mshindwe.
Huna jipya, bado umeganda kwenye santuri, watu tupo kwenye AI music.Nilisikiaga kaondoka na Korona basi nilipata wrong information
Anyways najua hana pumzi tena tupo wajuba hapa tuchamshe damu hiyo.
Butiama ya magomeni nayo vipi,yake!?Ongezea na hotel kali sana Arusha Njiro na Chanika DSM akiziita Butiama sijui ndo mshahara ama rushwa!!