Kuanzia IGP Harun Mahundi aondoke Polisi imekuwa mafia

Nimesoma Uzi huu,jamaa ameamua kujilipua,kumbe kumbe askari wa usalama wanatuonea wenye magari na wanachukua Hela wazi wazi bila woga kumbe ni chaini hadi HQ,Kwa hali hii Hawa jamaa wakifika Kwa Mungu ni kichapl tu.
 
Naam, ni hatuna Polisi Tanzania. Bila kupepesa macho wala maneno, sijuwi imeanza lini lakini ni kweli Polisi ya Tanzania ni Mafia na hata zaidi ya Mafia.
 
Umeandika mengi sana na it's very true....
Kipindi flani nyuma nilipangiwa kumu hakikishia ulinzi binafsi RPC OLOMI kwenye makaz binafsi Mwanza enzi izo Akiwa afande mkuu Kagera.....

Alikua mtu poa sana siku Kaa sana nikaondoka MZa

#ASAP
Nikaona taarifa JPM amemtumbua kisa BIASHARA YA MAGENDO KAHAWA....
 
Polisi sasa hivi wamegeuka kichekesho mbele ya jamii pana ya kitanzania. Hawa wachumiatumbo Mungu anawaona.
 
Mama Samia aliwaambia wakubwa wa polisi pale moshi kua samaki anaoza kuanzia kichwani. Yaani matendo machafu unayoyaona Kwa Askari wadogo, chanzo chake ni huko juu.
Ni ukweli mtupu. Na matatizo ya hii taasisi yote yanajulikana hakuna haja ya kudunda tume. Fikiria Askari kupata stahiki zake mpaka ahonge je huyu mtu atatutendea haki?. Mfumo wa uajiri umejaa kujuana au rushwa.
 
Rushwa Polisi na sehemu zote serikalini ilishakuwepo tokea enzi za Julius Kambarage Nyerere na ni kama utamaduni wa KiTanzania

Mie binafsi nimeshuhudia Rushwa chuo kikuu cha Dar es Salaam nikiwa mwanafunzi pale iwe Polisi kusiwepo rushwa?
 

Ofisi zote serikalini na taasisi zote kuna rushwa labda ikulu tu ndio kunaweza kuwa hakuna rushwa
 
Hadi kuna watu fulani vigogo wakubwa sana tu wa chama fulani na watu wazito sana nchi hii walikuwa wanajihusisha na biashara ya silaha za kivita kwenda kuendeleza vita mataifa jirani yetu iwe polisi wenye mishahara ya laki nne ndio wawe wasafi
 
Ofisi zote serikalini na taasisi zote kuna rushwa labda ikulu tu ndio kunaweza kuwa hakuna rushwa
Hukumsikia Mama Samia juzi? Alisema sakata la over invoicing ya ndege limeanzia hapo hapo.

Polisi kuna ufisadi zaidi ya rushwa ni organised crime.

Ukishtaki utatakiwa uhonge, ukishtakiwa utatakiwa uhonge. Ni "damned if you do damned if you don't".
 
Ni kweli kabisa! Moja ya maeneo nyeti ukitaka kuvuruga taasisi yeyote ni kwenye recruitment process!

JWTZ kwa miongo mingi wako very serious kwenye recruitment na mafunzo. Anatoka askari aliyenyooka. Kozi za maafisa zimeshiba sio afisa anapelekeshwa na wanasiasa kama vile hajui mipaka yake.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
HasbunAllah wa niima l'wakil.

AlhamduliLlah Gozi linadunda kama kawa. Allah ampe unri mrefu

Mahasidi mshindwe.
Nilisikiaga kaondoka na Korona basi nilipata wrong information
Anyways najua hana pumzi tena tupo wajuba hapa tuchamshe damu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…