Kuanzia IGP Harun Mahundi aondoke Polisi imekuwa mafia

IGp Mahita na RPC Chiko popote mlipo nyie ni maphisi sana.
Majamberzi wakubwa kabisa
 
Reforms kuanzia kwenye recruitment. Scheme of Service ya kitaalam iandaliwe kwa chombo hiki muhimu. Chombo hiki kiwe Tume Huru(Independent Commission) ndani ya JMT.
 
Dah umenikumbusha mbali nikiwa chalii tulisoma na toto lake moja linaitwa Grace mahundi,alikuwa mpole sana sijui yuko wapi,makazi yao yalipakana na ikulu kabisa.
 


3. Rushwa barabarani kila RPC anapata chake kutoka kwa mkuu wa traffic wa mkoa na kati ya hizo kuna fungu linaenda kwa wakubwa makao makuu na hakuna mtu wa kuhoji
 
Umenikumbusha asee nilivyo maliza chuo ndugu yangu alikuwa OCD alitaka niingie jeshi la polisi akaanza kunidanganya ukiingia utapewa nyota sijui nini sababu ya elimu, sikuwa na kazi lakini roho ilikataa katakata na jina alishapeleka nikakata na mawasiliano naye kama miaka 2, hakuna kazi naichukia kama ya polisi bora niendeshe bodaboda mtoto wangu akikua akiingia polisi itabidi atafute babake mwingine.
 
Upon sahihi hawa ndiyo wateja wao wakubwa sn
 
Polisi ibinafishishwe kama wanavyofanya nchi zingine vinginevyo ni majanga
 
Mfumo ni mbovu sn unachochea rushwa kupita kiasi
 


Yote uliyoongea yanahusu maslahi ya Police, Hakuna tulichoongea kuhusu uonevu wa raia na namna gani wanaathirika, kweli wewe mtoto wa Police, pambaneni
 
Sema sahz imeonekana kua fursa hata kwa waliosoma baada ya ajira kukaza
 
kuna vibabu kwetu walilaani ukoo wao asije mtu akawa mtumwa wa tanpol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…