Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

Wakikosoa mnalalamika kuwa wanakosoa kila kitu. Wakisifia nako mnajaa nyembe kama mna mimba changa. Kwani kinachowatesa ni nini? Akitenda mema asifiwe, akizingua akosolewe. Wewe mbona kabla mmeo hajakuoa mlikuwa mnafurahiana mpaka anakukazia vichakani kwa furaha ila kwa sasa mmekuwa kama mbogo hata chuphi humvulii? Mambo huwa yanabadilika asee, na sio kamba eti kwa vile alisifiwa mwanzo akija kukosea hapo baadae asikosolewe. Mpaka hapo umenielewa bibie?
 
Kamanda,matusi yameanza tusubiri
 
nani atawaunga mkono
watanzania hawana muda huo
 
Mkuu bi hivi
Kama mawazo yako yako ni mgando muombe Mungu yaganduke
Kama chadema ilimsifia Mama Samia kwa wakati fulani ulisifikiri itamsifia hadi pale atakapoharibu
 
Hahahaha tuliza mzuka Mpwa! Mimi ninachojua ni kwamba mliutangazia Ulimwengu kuwa Chadema imekufa, sasa hii ya 1/July/2021 unayozungumzia ni IPI? Au kuna Chadema nyingine tofauti na ile iliyokufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…