Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania"

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani mwaka 2015 siku 100 za mwanzo aliibuka Salum Mwalim akaitangazia Dunia kuwa Serikali ya "Hapa Kazi Tu" kwa asilimia 100 ilitekeleza sera za UKAWA.

Na sasa ndani ya siku mia moja za Rais Samia makamanda ghafla wanalazimisha kuonekana wenye furaha, wakigonga tano wakiamini Serikali ya "Kazi Iendelee" inatekeleza sera zao.

Vituko haviishi hadi kufikia tarehe 1.7.2021 tutaanza kuona na kusikia mitambo ya matusi ikiwashwa upya dhidi ya Serikali ya Rais Samia (CCM) na hapa rasmi Chongolo na Shaka nao wataanza kusakamwa na makamanda kama ilivyokuwa Dr. Bashiru na Polepole walipotekeleza majukumu ya kuhakikisha CCM inaendelea kushika dola.

Muda utasema!
Mnasema CHADEMA ilishakufa, kumbe mnakiri bado ipo? "You are misguided prophets". Msingi (principle) wa upinzani pamoja na kusifu yaliyo mema, ni kukosoa mabaya.
 
S
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania"

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani mwaka 2015 siku 100 za mwanzo aliibuka Salum Mwalim akaitangazia Dunia kuwa Serikali ya "Hapa Kazi Tu" kwa asilimia 100 ilitekeleza sera za UKAWA.

Na sasa ndani ya siku mia moja za Rais Samia makamanda ghafla wanalazimisha kuonekana wenye furaha, wakigonga tano wakiamini Serikali ya "Kazi Iendelee" inatekeleza sera zao.

Vituko haviishi hadi kufikia tarehe 1.7.2021 tutaanza kuona na kusikia mitambo ya matusi ikiwashwa upya dhidi ya Serikali ya Rais Samia (CCM) na hapa rasmi Chongolo na Shaka nao wataanza kusakamwa na makamanda kama ilivyokuwa Dr. Bashiru na Polepole walipotekeleza majukumu ya kuhakikisha CCM inaendelea kushika dola.

Muda utasema!
Saccos wanaumia na kukasirika kwani wale waliotegemwa wangekufa na njaa baada ya kuondoka ndio wameteuliwa kuwa mabosi wao huko wilayani kwao.wamevimbisha mashavu utadhani wote ni wajukuu wa Kigogo. Huku Nasari ,Kule, Mashinji, katikati Lijuakali pembeni Mtatiro, wakuu mtakufa na vijeba vya moyo
 
MATAGA mnahaha hamjui pa kushikilia, mmeishia kuwa wapiga ramli.
Wewe tapeli ni kawaida yako kulamba miguu viongozi wakiingia madarakani kisha wakikufungia vioo unaanza matusi.

Ulilamba miguu ya JPM baadae uliponyimwa pesa ukageuka.
Mama Samia pia itakuwa hivyo hivyo.

Yote kwa kuwa akili zako ni finyu.
 
Huyu dogo anajiita "jasusi"
Wewe tapeli ni kawaida yako kulamba miguu viongozi wakiingia madarakani kisha wakikufungia vioo unaanza matusi.

Ulilamba miguu ya JPM baadae uliponyimwa pesa ukageuka.
Mama Samia pia itakuwa hivyo hivyo.

Yote kwa kuwa akili zako ni finyu.
 
Acha uoga enzi za utawala wa kutishana na kufunga wapinzani hovyo zimepitwa na wakati. Huu ni wakati wa siasa za kistaarabu.

Wewe endelea kumuota mwendazake.
 
🤔
 
Wakikosoa mnalalamika kuwa wanakosoa kila kitu. Wakisifia nako mnajaa nyembe kama mna mimba changa. Kwani kinachowatesa ni nini? Akitenda mema asifiwe, akizingua akosolewe. Wewe mbona kabla mmeo hajakuoa mlikuwa mnafurahiana mpaka anakukazia vichakani kwa furaha ila kwa sasa mmekuwa kama mbogo hata chuphi humvulii? Mambo huwa yanabadilika asee, na sio kamba eti kwa vile alisifiwa mwanzo akija kukosea hapo baadae asikosolewe. Mpaka hapo umenielewa bibie?
Genius [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji120][emoji3577]
 
Ndugu zangu,

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya ya "Maisha Bora kwa Kila Mtanzania"

Wakati Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani mwaka 2015 siku 100 za mwanzo aliibuka Salum Mwalim akaitangazia Dunia kuwa Serikali ya "Hapa Kazi Tu" kwa asilimia 100 ilitekeleza sera za UKAWA.

Na sasa ndani ya siku mia moja za Rais Samia makamanda ghafla wanalazimisha kuonekana wenye furaha, wakigonga tano wakiamini Serikali ya "Kazi Iendelee" inatekeleza sera zao.

Vituko haviishi hadi kufikia tarehe 1.7.2021 tutaanza kuona na kusikia mitambo ya matusi ikiwashwa upya dhidi ya Serikali ya Rais Samia (CCM) na hapa rasmi Chongolo na Shaka nao wataanza kusakamwa na makamanda kama ilivyokuwa Dr. Bashiru na Polepole walipotekeleza majukumu ya kuhakikisha CCM inaendelea kushika dola.

Muda utasema!
Hivi CDM ina matusi kuliko CCM?
 
Wewe sasa inafaa upate mume akuoe kwa sababu muda wote unashinda hapa na kukesha ukiandika tu upumbavu mwingi usio na maana ili mradi tu ulipwe ujira na kitengo cha propaganda cha ccm. Useless kabisa.
 
Kamanda jikite kwenye hoja acha kulialia

Back
Top Bottom