Kuanzia Jumatatu, menu za simBanking zitaanza kutozwa

Kuanzia Jumatatu, menu za simBanking zitaanza kutozwa

endrizzy

Senior Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
186
Reaction score
137
leo nimeamka na hii

Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100

kazi iendeleeee
 
Mbombo jilipooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kuingia kwenye menu yoyote ya Benki kutaanza kutozwa Tsh. 100
IMG_20210724_080730_179.jpg
 
Back
Top Bottom