Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Vodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.
Siku zote!
Airtel ni bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.
Siku zote!
Maisha yao hayajui maumivu ya makato ya hizi tsh 100 kwenye kila kitu.Huyu mama ni bure kabisa.
First gentlement kwani ukikaa na mama private hauwezi kumshauri kiuwandani?
You can't accessUkiwa huna salio je?
Nilihamia halotel Mana hao jamaa wanaojifanya superstarVodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.
Siku zote!
Kutumia App hakuna makato ya salio la muda wa maongezi. Pesa yako wataila kwenye bando la internet tu. Kama unatumia internet ya bure basi utakuwa umewakwepa moja kwa moja.Ukidownload app ukawa unatumia simbanking ya app ambayo haina USSD nako pia wanakata ??? Kama wanakata tujue sisi tutatafuta njia zote kuhakikisha tunajirahishia maisha. Nimewapigia tigo hawajanipa majibu direct hao wa voda wanaolipa 500 kwa kila login aisee hapana hayo maisha nisingeweza.
Uko sahihi. Utaliwa kwenye bando la internet tu, kama unavyoliwa hapa JF.Sijawahi kutumia app ya simbanking ila nadhani makato ya mtandao(sh 100) yatakuwa ni ya mtandao tu na benki watakuwa wanakata kwa kila transaction unayofanya kwa simbanking ambayo itaonekana kwenye statement yako.
uongo wa stigirazi joji huuVodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.
Siku zote!
Tujenge taifa kwa gharama ya jasho letu huku viongozi wa ccm na familia zao wanajineemesha kwa kisingizio cha uzalendo.Nchi HAIENDI bila ya makusanyo ya KODI/TOZO.....
Tubadilishe "mentalities" kwa KUJIFUNZA HULKA MPYA ya KULIJENGA taifa letu kwa gharama ya jasho letu......
Hizo TOZO zinakwenda katika mfuko MAALUM.....CAG atakuwa anaukagua na TAARIFA TUTAPEWA.....
#KaziIendelee
#NchiKwanza
ndo tutajifunza umuhimu wa hesabu na chemistry katika maishaKuwa na viongozi aina ya akina Magufuli ni matatizo unataka kila mradi ukamilike huku huna uwezo wa kifedha-hata Roma haikujengwa siku moja.
Mkuu kuna mambo ya umeme emergency usiku salio la haraka yaani kama mfano hauna salio kwenye line inakuwaje maana mitandao mingine ukiacha tu salio wao wanachukua hata uelewi limeenda wapi!Tutaenda ATM
Wewe upo voda? Kwa maana ya kufanya kazi? Mimi nina number zaidi ya moja miaka 20 sasa nilihama voda kwenda airtel ikiwa ni hiyo sababu na hadi sasa nina voda hata iwe na 400 bal..ance ambayo haiko kwenye bundle haikubali kupiga code ya crdb sim bankinguongo wa stigirazi joji huu
makato kwa vodacom yapo mda mrefu tu lakini huchaji 20 Tsh per Sec
kwa maana hiyo ukiwa na salio hata la sh 100 uta weza kufanya bank transfer
the more you delay the more they charge
remember 20 tsh/sec
[emoji1324][emoji1324][emoji1324][emoji3603][emoji1324][emoji3603][emoji1324][emoji3603][emoji1324][emoji3603][emoji1324][emoji3603][emoji1324][emoji3603]Mkuu kuna mambo ya umeme emergency usiku salio la haraka yaani kama mfano hauna salio kwenye line inakuwaje maana mitandao mingine ukiacha tu salio wao wanachukua hata uelewi limeenda wapi!
Hapa ndio tumepigwa mazima
Nchi hii tungekuwa serious tungeingia mtaani kudai haya makato yasitishwe.