EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Tutaenda ATM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo miradi mshaurini mama aiache tu Ili muendelea kusema mama anaupiga mwingi.Mambo ni Faya!!!! SGR,STEGOLAZ zinahitaji kukamilika......Kuna huduma nyingine kuna option ya kuzipiga chini.
Hyo miradi mshaurini mama aiache tu Ili muendelea kusema mama anaupiga mwingi.
Acheni visingizio
Kuwa na viongozi aina ya akina Magufuli ni matatizo unataka kila mradi ukamilike huku huna uwezo wa kifedha-hata Roma haikujengwa siku moja.
Naongiaga nikiwa nataka fanya muamala. Hivyo kwangu sio ishu, tuendelee kulipa kodi indirect maana ya direct tunaikwepa. Kilio changu ni na wabunge walipe kodi ya PAYE...leo nimeamka na hii
Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100
kazi iendeleeee
Naona jpm bado anakusuguaJiwe alikuwa anawapiga wafanyabiashara fedha za maendeleo ,Mama anataka sisi wananchi tuchangie maendeleo ,approach nzuri maana wafanyabiashara ndio wanaoeleta ajira na mzunguko wa pesa mtaani....Ushauri tu wapunguze makato maana ni makubwa yanamuumiza mwananchi.
Hata airtel ilikuwa ni bure kabisaMbona imekuwa.hivyo miaka mingi kwa wanaotumia mtandao wa Voda? Hata mimi nimeshangaa kumbe Tigo ilikuwa bure
Naona jpm bado anakusugua
Ukiwa huna salio hupati huduma kabisa, Vodacom wanafanya hivyo tangu zamani, hakuna jipya.Ukiwa huna salio je?
Yani hii Nchi tunaishi kama hatuna viongozi,mambo ya kipumbavu kabisa yanafanyika kwa hii Nchi.
Unakatwa siku ukiweka salioUkiwa huna salio je?
Njia nzuri na sahihi ni kuwekeza kwenye materials zaidi ya kuhifadhi bank.leo nimeamka na hii
Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100
kazi iendeleeee
Matanga gabho....!Samia na CCM wameona tumehama kwenye miamala ya simu tumeenda kwenye sim banking imebidi waongeze tozo za kununua mavieitee.