Utaambiwa insufficient balanceUkiwa huna salio je?
Hutaweza ku-acesss hudumaUkiwa huna salio je?
Usiulize menuUkiwa huna salio je?
Kila sehemu ni moto 🔥
Kuwa na viongozi aina ya akina Magufuli ni matatizo unataka kila mradi ukamilike huku huna uwezo wa kifedha-hata Roma haikujengwa siku moja.Mambo ni Faya!!!! SGR,STEGOLAZ zinahitaji kukamilika......Kuna huduma nyingine kuna option ya kuzipiga chini.