Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Kuepuka hayo tumia App ya benki husika japo lazima uwe na bando ya internet. Mfano CRDB wana App ya Simbanking na NMB wana App ya Benki mkononi.leo nimeamka na hii
Ndugu Mteja, kuanzia 26 Julai 2021 kila uingiapo kwenye menyu yoyote ya Bank utatozwa Tsh100 kwenye salio lako la muda wa maongezi. Kwa taarifa zaidi piga 100
kazi iendeleeee
✓Huyo CAG nae no binadamu kama wewe ataziiiba tuuu izo pesaNchi HAIENDI bila ya makusanyo ya KODI/TOZO.....
Tubadilishe "mentalities" kwa KUJIFUNZA HULKA MPYA ya KULIJENGA taifa letu kwa gharama ya jasho letu......
Hizo TOZO zinakwenda katika mfuko MAALUM.....CAG atakuwa anaukagua na TAARIFA TUTAPEWA.....
#KaziIendelee
#NchiKwanza
Kumbe ngoja tufanye ivyoKuepuka hayo tumia App ya benki husika japo lazima uwe na bando ya internet. Mfano CRDB wana App ya Simbanking na NMB wana App ya Benki mkononi.
Sasa tufanyeje 🤣🤣🤣🤣✓Huyo CAG nae no binadamu kama wewe ataziiiba tuuu izo pesa
Mbombo ngafuMbombo jilipooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapana boss, Voda wanakata sh 100 kwa kila login ya hiyo crdb simbanking, tangu wameanza nadhani, angalau kwa muda wote niliokuwa natumia kabla sijaamia internet banking ambapo nako wamenitoa.Vodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.
Siku zote!
Ukidownload app ukawa unatumia simbanking ya app ambayo haina USSD nako pia wanakata ??? Kama wanakata tujue sisi tutatafuta njia zote kuhakikisha tunajirahishia maisha. Nimewapigia tigo hawajanipa majibu direct hao wa voda wanaolipa 500 kwa kila login aisee hapana hayo maisha nisingeweza.Hapana boss, Voda wanakata sh 100 kwa kila login ya hiyo crdb simbanking, tangu wameanza nadhani, angalau kwa muda wote niliokuwa natumia kabla sijaamia internet banking ambapo nako wamenitoa.
Hauko siriasi mkuu, mfuko maalum? CAG? Ndio nini akikagua? Itatokea nini? Miaka 60 kodi zinalipwa na hakuna kinachotokea, ndo ije kuwa tozo za miamala? Kama kweli mnajali na mna huo uzalendo, ya nini kulibebesha taifa gharama za kijinga kwa fahari ya wasio fanya kazi?Nchi HAIENDI bila ya makusanyo ya KODI/TOZO.....
Tubadilishe "mentalities" kwa KUJIFUNZA HULKA MPYA ya KULIJENGA taifa letu kwa gharama ya jasho letu......
Hizo TOZO zinakwenda katika mfuko MAALUM.....CAG atakuwa anaukagua na TAARIFA TUTAPEWA.....
#KaziIendelee
#NchiKwanza
UTII levyVodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.
Siku zote!
Kama huwezi Hamia Burundi. Simple!Ukidownload app ukawa unatumia simbanking ya app ambayo haina USSD nako pia wanakata ??? Kama wanakata tujue sisi tutatafuta njia zote kuhakikisha tunajirahishia maisha. Nimewapigia tigo hawajanipa majibu direct hao wa voda wanaolipa 500 kwa kila login aisee hapana hayo maisha nisingeweza.
Sijawahi kutumia app ya simbanking ila nadhani makato ya mtandao(sh 100) yatakuwa ni ya mtandao tu na benki watakuwa wanakata kwa kila transaction unayofanya kwa simbanking ambayo itaonekana kwenye statement yako.Ukidownload app ukawa unatumia simbanking ya app ambayo haina USSD nako pia wanakata ??? Kama wanakata tujue sisi tutatafuta njia zote kuhakikisha tunajirahishia maisha. Nimewapigia tigo hawajanipa majibu direct hao wa voda wanaolipa 500 kwa kila login aisee hapana hayo maisha nisingeweza.
Hii sababu haitoshi kuwafanya kuwa narrow-minded. Mkapa alipoingia madarakani, tuliambiwa, hakukuta kitu hazina, ajabu hata soda tu aliiacha sh 250 kutoka 150, mkate 200, nauli ya daladala ilikuwa sh 50 kwa sh 150, sembe kilo sh 600, sukari kilo 600 n.k Yeye akamuachia Mkwere kitita hazina, Mkwere akatuachia bei ya soda sh 750 na mkate sh 1,500 sukari, sembe n.k sijui ngapiJiwe alikausha hazina kabisa